Joyce Mukya aliyetajwa kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Kwa kesi hii mwisho wa yote Mungu atajidhihirisha, ndivyo alivyofanya baada ya vilio vingi vya wanadamu wasiokuwa na hatia, baada ya kuona kila mtu anakata tamaa ya kupatikana tumaini tena, Mungu alijidhihirisha. Huwezi kutunga uongo mkubwa hivi juu ya binadamu mwenzako Mungu akanyamaza. Tuvute subira.
 
Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake.

Shahidi: Baada ya pale kutoka Kizo hotel gari ilielekea uelekeo wa Arusha mpaka Aishi Hotel Machame. Baada ya kushuka kwenye gari alimwambia yule mbunge (Joyce Mukya) atangulie ndani sisi tuna kikao kifupi.
Mukya ni mashine ya mwenyekiti au unamwonea wivu?? Ulitaka uchukue majukumu ya Joyce wewe? Utaweza kuituliza nafsi ya mwenyekiti vyema tukupigie debe
 
1. Kuwa na mwanamke kwenye gari haimaanishi kwamba Ni mchepuko wako. Wasio na akili wako tayari sana kuhujumu kwa sababu hawezi kufikiri zaidi ya hapo.
2. Sidhani Kama Kuna mwanamme mwenye afya nzuri asiye na mpango wa Kando. Kuna waliokufa kibudu wamezaa na wake za watu na mpaka shemeji zao pamoja na kwamba afya zao zilikua na mgogoro.
3. Huyo shahidi amepandikizwa na CCM ili aseme urongo.
 
Back
Top Bottom