Joyce Kiria unahitaji shule

Status
Not open for further replies.

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
Yaani nimefungua TV namkuta J Kiria anafanya mahojiano na watu wazima sijajua subject ila akaaza kumlaZimisha yule mzee mmoja ataje nguo za ndani ni zipi yule mzee kwa ustaarabu hakutaja, akampoint mwingine naye ktk kuchangia akasema si vizuri beki3 kufua nguo za ndani za mabosi, sasa hapa akamng'ang'ania azitaje na yule kwa maneno ya haiba akataja pichu....... Naona mbele kama wameedit maana ikaruka. Namshauri elimu sio form 1- 6 kama anavyofikiria alafu hajachelewa she is still young for her Carrier. Mlio karibu naye msaidieni
 
Ujanja mkononi huku kichwani hamna shule ama labda wanasubiri shimo la Freemasons liteme... Aaahaaa!
 
Kwakweli anakipaji na ana kitu confidence ambayo angeipatia exposure ya madarasa angefika mbali
 
Anatakiwa aelewe kuwa dreamz zake zitafikia mwisho bila mafanikio kama hana elimun maana lugha kwa mtanzania ni mpaka kashule na yeye aelewe anatakiwa afanye mahojiano yake na kina Condoreza rice, Hilarry Clinton nk sasa hapo ajiandae ili aikuze carrier yake
 
Ana juhudi but kinachomuangusha ni darasa so umefika wakati wa yeye wa kwenda shule no matter what! ni ushauri tu
 
nilishawahi kuhoji humu...is she a super woman?..kama anavyojiita!?
 
yule mtangazaji alinikera kweli anauliza nguo za ndani ni zipi kama hazijui..huu utandawazi unatumaliza vibaya.mbona yule wa mikasi Salama yupo poa sana hata kama anauliza maswali ya ajabu lakini anauliza kijanja.
 
Mwacheni huyu dada..nguo za ndani zipo tofaut tofaut hasa kwa kina mama...wanaume tuna boxer,bukta;vest zote ni nguo za ndani,..kina mama ndo usiseme..chupi;bikini,shumizi;sidiria nk sasa cha ajabu apo nini,,,watanzania wengi bado ni wanafiki sana mambo ya kipuuzi mnashadadaia eti shule..hao walioelimika wakapewa wizara wamewafanyia nini zaidi ya kuwaibia kodi zenu...shatap!
 
Aaah! We kweli mkono wa paka,yaani unatetea ujinga kama huo, kwani kifikra tu nguo za ndani unazifaham na yeye hivyo hivyo,je wew unazani alikuwa anafikiria nini wakati anauliza hayo maswali ya kipumbavu...'she need a class ili asitukane hadharani tena...
 
Ungwahi kusikiliza maswali ya wabunge ungempa big up JOYCE WA WATU
Yaani nimefungua TV namkuta J Kiria anafanya mahojiano na watu wazima sijajua subject ila akaaza kumlaZimisha yule mzee mmoja ataje nguo za ndani ni zipi yule mzee kwa ustaarabu hakutaja, akampoint mwingine naye ktk kuchangia akasema si vizuri beki3 kufua nguo za ndani za mabosi, sasa hapa akamng'ang'ania azitaje na yule kwa maneno ya haiba akataja pichu....... Naona mbele kama wameedit maana ikaruka. Namshauri elimu sio form 1- 6 kama anavyofikiria alafu hajachelewa she is still young for her Carrier. Mlio karibu naye msaidieni
 
Bongo bana! eti na huyu dada ana host kipindi kwenye national Tv! upstair hamna kitu kabisa! hana mtiririko wa maswali hana target! still eti anajifananisha na Oprah!!.. Oprah myAss!!
 
nilishawahi kuhoji humu...is she a super woman?..kama anavyojiita!?

ana haki ya kujiita vyovyote atakavyo ilimradi asivunje sheria za nchi,kuna kina profesa j,afande sele,phd,mwanafalsafa, docta cheni na wengine wengi wamejibatiza majina na jamii imetulia tuli bila kupiga (mayowe kama ww)
 
Ila kweli shule muhimu japo masomo yetu haya yapo theoretically zaidi, akasomee fani yake ya utangazaji apate manufaa na sio aanze form one kama wengi wanavyotaka humu..
 
Ana juhudi but kinachomuangusha ni darasa so umefika wakati wa yeye wa kwenda shule no matter what! ni ushauri tu

kuweni wakweli, kwa umri ule Joyce anaweza kuanza form one kweli? kumbukeni ameishia darasa la saba hapo alipo. aanze form one hadi six, ndipo aje chuo si atakuwa kishazeeka jamani?? cha muhimu ni kumshauri afanye shughuli nyingine kama kuendeleza biashara zake na Kilewo na hii ya utangazaji awaachie wenye fani
 
Niliwahi kusikia kuwa Guninita bado anasoma O-Leve perfect vision secondary (i guess yuko form two au three)????!! Ikiwa ni kweli huyu kiria ana umri kumzidi Guninita?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom