Joyce Kiria unahitaji shule

Status
Not open for further replies.
Bongo bana! eti na huyu dada ana host kipindi kwenye national Tv! upstair hamna kitu kabisa! hana mtiririko wa maswali hana target! still eti anajifananisha na Oprah!!.. Oprah myAss!!

Tumpe dada yetu moyo,kweli si kama oprah lakini pamoja shule siku moja atakuwa kama huyo uliyemtaja:focus:
 
Pamoja na mapungufu yake hayo ambayo anajua hapa JF hawakosekani wakosoaji kuingana na social hii kama ni kweli ni STD 7, anakipaji nimependa sana show yake ya leo.
 
joyce kiria ni fighter, pamoja na mapungufu yake yote but still kipindi chake kimewakamata wengi na kinamwingizia ela pia kina inspire wakina dada na wanawake wengine kufight.
Hawezi kuwa kama oprah na mapungufu lazima lakini isiwe sababu ya kumkatisha tamaa kafight sana mpaka kipindi amekifikisha kilipo.
 
joyce kiria ni fighter, pamoja na mapungufu yake yote but still kipindi chake kimewakamata wengi na kinamwingizia ela pia kina inspire wakina dada na wanawake wengine kufight.
Hawezi kuwa kama oprah na mapungufu lazima lakini isiwe sababu ya kumkatisha tamaa kafight sana mpaka kipindi amekifikisha kilipo.

Sidhani kama mtoa mada amemkataa kama ni fighter bali amemshauri akaongeze kakitu fulani atafika mbali zaidi ya hapo. Kumbuka anaweza akawa na nyota ya mafanikio na isimsaidie sababu kuna wachache watakula mgongoni mwake. Hata miye namshauri aongeze kashule mbona Tyra banks kagraduate mwaka juzi tu? She needs something and I wish har luck
 
Hapo ndo wabongo tunapozingua, tumekalia majungu tu na kuponda kila kitu,,

Hata kama ana mapungufu yake joyce kiria ni mfano, kwa elimu ya msingi kufika levo aliyonayo lazima tumpe credit kwa hiko anatisha, tuna watu wangapi mitahani wana masters na elimu zinginezo hawaeleweki, wameshindwa kubuni hata biashara ya pipi,, mwenzetu anatengeneza pesa tunampiga majungu hana shule mara hawezi kuwa oprah sijui tyra banks wakati ukweli tunaujua moyoni

Joyce kiria amezaliwa kijijini huko moshi tena kwenye familia duni, mjini kaja kama house girl lakini after 10 years in town amepanda kutoka u house girl mpaka tv host mkubwa kibongo bongo,,,wakati kuna mijitu imezaliwa town hapa, inatoka familia nzuri na imekaa town zaidi ya 30 years, ina elimu ya kutosha sijui udsm, mzumbe, oxford, etc lakini haina chochote imekalia kulalamikia ccm tu badala ya kujituma kumake things happen...

Sasa assume joyce ndo angezaliwa familia mambo safi ingempeleka shule angekuwa wapi sasa hivi

Kumfananisha na oprah ni ujinga as oprah amezaliwa Atlanta USA wakati joyce amezaliwa Kishumundu kivipi watakuwa sawa?

Tukatae tukubali oprah was born at a right place in a right time while joyce is born at a wrong place in a right time ( nimesema right time sabab tv show zimemkuta katika umri sahihi)

Mtakalia hivyo hivyo kumponda joyce wakati sasa hivi wanawake live inarushwa kwenye dstv through africa magic swahili na inaangaliwa na Africa nzima,, unafikiri anaingiza bei gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom