Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

Anavyoshupaliaga wababa wanaodai 0713 kwa wake zao aisee ni balaa alafu huwa anapendaga sana hzo story sijui na yeye ni mhanga wa janga hilo ila big up joy
 
Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta
Ivi sasa unaona aibu kwa hii comment
 
Prediction yangu ilikuwa conditional kwamba kama hatajiendeleza na kujifunza basi itakuwa failure. Ila Ni mjanja alienda shule na amekuwa na role models wa ukweli so wamemuelekezaa.
Haaa nimekutafuta weweee!!
Kumbe ndo umebadilika hv!! Hata celebrity huji tena
 
Hivi mtu ana akili zake atasimama vipi kwenye media asema elimu haina umuhimu katika maisha ya mwanadamu alafu awekwe kwenye kundi la ma role model??? hapa sio swala la kupendana au kuchukiana....ila hana vigezo vya kupewa sifa mlizo mpa.
kwanza interview zenyewe anazo host kwenye kipindi chake full kuwa comand wageni wake.., na kuwapangia cha kusema (yani kinachomfurahisha yeye)...kwa kweli AKAJIPANGE UPYA, AJE KIVINGINE AKIWA ANA ELIMU LAKIN KWA PALE ALIPO SIDHANI KAMA ANA MIAKA 2 MBELE KUENDELEA KUMAINTAIN STATUS .... Kama amekutuma umpe promo mwambe hujatukuta
uliona mbali
 
Back
Top Bottom