Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Nadhani ndiyo maana amesema kuwa tatizo litatatuliwa kwa amani. Anazijua sheria za kimataifa. Angalia katumia neno "amicably."namshauri huyu banda akasome UN international law on territorial water
Huyu mama anaonyesha ana busara na akili sana kuliko huyu Joyce wetu anayapenda kusafiri tuu
Nadhani ndiyo maana amesema kuwa tatizo litatatuliwa kwa amani. Anazijua sheria za kimataifa. Angalia katumia neno "amicably."
Kwa usemi mwingine ni kwamba pande zote zitakubaliana na uamuzi
Huyu mama kuna watu wanamdanganya na hasa hawa vigeugeu wa Magharibi !
hata mi nahisi kaona maji ya shingo imebidi ajiadjust.. Watu sahivi wanamuona ana busara ila hatujui kichwa chake kinawaza nini maana kuongea ni rahisi tu. Kwenye kunegotiate hapo ndio shughuli, raisi wetu asije akalegezewa macho, pua imebanwa mwenye akasema "basi bibie, hata ikulu ukisema yenu mi nakuachia".Banda siyo kwamba ana busara. Intelijensia wake wamemwambia juu ya boti za kijeshi zilizopo ziwa Nyasa na askari na vifaa waliopelekwa Kyela na Songea. Naye ana akili amejua maji ya shingo. Yeye si ndiye aliyesema wiki iliyopita kuwa yupo tayari kufa akiipigania Malawi.
Ila nina wasiwasi sana na uwezo wa viongozi wetu katika kunegotiate..