Fox news wame report kuwa Joyce Banda ni mgomvi mgomvi Mfano sasa hivi amezua ugomvi mkubwa na madonna na Joyce Banda amemwita Madonna ni diva mjinga tu .Huyu mama anapenda attention sana,alizua ugomvi hapo airport na wale watoto wanautunzwa na Madonna Joyce Banda aka order wasimshangilie Madonna Eti Madonna ni slave master.