mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
Nilikua naangalia Al Jazeera leo asubuhi Joyce Banda anahojiwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani alipoulizwa kuhusu mgogoro wa Nchi yake na Tanzania juu ya ziwa Nyasa akajibu " I am 62 yrs Old and i knw that lake to belong to no one rather than Malawi" kwa view yangu kama swala hili limeshafikishwa kwenye vyombo husika vya usuluhishi au kama wanavyotaka wao kulipeleka ICJ kauli kama hii ni insultation kw taifa la Tanzania. She luck respect kwa Watanzania!