Joyce Banda alonga Al-jazeera


KM mwl angekuwepo na awe madarakani huyu mama angekuwa ameshapinduliwa na wananchi wa MALAWI wakishirikiana na USALAMA WA TAIFA-TANZANIA
 
..........kaka kazana kula samaki uongeze uwezo wako wa kufikiri.........
 
Mmmh..Kwa maelezo ya tanganyika tanu bora tuwachape tu hawa wamalawi.
 

kuwa mpole,hata watawala wanaoangalia mbali hawawezi kukubali jeshi kwenda vitani kupigana na malawi wanajua wanajeshi tz watashinda lkn watawala wanahofia wanaweza shindwa wazuia mukari ya wanajeshi hao wakati wanarejea kwani uwezekano wa kuja kufanya mapinduzi nchini ni mkubwa kwa hali ilivyo sasa(watu waliojeshini wanaweza thibitisha hili)
 

Acheni huo upuuzi hati aje kututawala mzungu ndio stugawie nchi zetu? Turudishe zamani hakuna Tanganyika, malawi wala nani tuone ziwa ni la nani? Huyu mama anataka balaa tu!
 
Nimefarijika sana baada ya kusoma post hii,maana karibia watu wote waliotoa maoni yao wanauchungu na huyu mama na upuuzi anaouongea,hii ni hasira ya wazungu baada ya Mh Rais kuwaeleza ukweli kuwa
"TUKIWA NA URAFIKIA NA NCHI NYINGINE HAKUNA KELELE,ILA TUKIWA NA URAFIKI NA UCHINA KELELE KIBAO" Sasa hizi mzionazo ni chokochoko tu za wazungu kumpa kiburi huyu mama ili hapo baadae tulazimishwe kumkataa mchina.
Tujiulize swali moja,tangu tumekuwa na urafiki na USA na UK nini wamekifanya ktk nchi zetu zaidi ya kutulazimisha kutupa vyandarua tena vyenye matundu ambayo hata nzi ana penya,kwa UK ndio kabisa,kulazimisha tuingize hatawaliofeli ktk mashule yetu eti kwa misaada yao isiyo na macho wala miguu na sasa wanataka tukubaliane na ushoga.
hongera Mh Rais ,hii vita ya mpaka tutaivuka na huyu mama atapatwa na aibu isiyoweza fichika
Hongera wana JF kwa kuweka utaifa mbele
 
Kasome case ya Lake Chad halafu ndiyo uje ulete makalio yako humu.
 

Haya maelezo yako yana mushkeli...
 
Huyu mama Joyce Hilda Banda n`ee Mtila leo anaadhimisha mwaka mmoja kamili toka awe Rais wa Malawi (7.4.2012-7.4.2013).Mama wa watoto 5; 3 kwa ndoa yake ya awali(na Roy Kuchale) na 2 kwa Richard Banda. Ni mwumini mzuri wa TB Joshua(Synagogue Church Of All Nations),baada kumfanyia maombi mume wake wa sasa,Robert Banda akapona kiharusi. Nabii Joshua ndiye aliyemtabiria kuwa atakuwa Rais wa Malawi,pia alitabiri pia kifo cha Bingu wa Mutharika miezi 2 kabla ya kifo(alikufa kwa shambulio la moyo).Vyanzo mbali mbali vya habari vinasema bado anategemea utabiri wa huyo Nabii kwa ktk uongozi wake. Je,ndiye anayemshauri kuhusu mpaka wa ziwa Nyasa?
BTW, huyu TB joshua inasemekana alimtabiria EL kuwa piga ua atakuwa Rais ajaye wa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…