Ahsante mkuu kwa kunijulisha maana nilipofungua tu picha nikajiuliza mbona wabaya hivyo?Kumbe ni watani wa jadi ,hapo wala sishangai ukiiangalia vuzuri hiyo picha utafikiri imechakachuliwa hakuna proportionality kwenye miili yao na huyo wa pili toka kushoto ndo lah utafikiri kibibijitu.