Muonekano wa Sayari ya Mars

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
667
1,467
Muonekano wa sayari ya Mars kutokea katika chombo cha Hope kutoka nchi za Umoja wa falme za kiarabu UAE

Umbali wa zaidi ya 20,000 km kutokea usawa wa uso wa Mars chombo hicho kili weza kupiga picha yenye muonekano wa kuvutia wa sayari hiyo huku tukiweza kuona upande wa kaskazini na hali ya Ubaridi uliokuwepo katika eneo hilo

Moja wapo ya nchi zinazofanya chunguzi mbalimbali katika sayari hiyo ni Umoja wa falme za kiarabu ambapo inaendelea kuweka sawa mazingira kabla ya mission ya kutua sayarini humo katika miaka mingi inayokuja

Image Credit : UAE Image Proccesing

Moudyswema
Geraldmzawa
Elimu_ya_anga_tanzania

FB_IMG_1673539797287.jpg
 
Moja wapo ya nchi zinazofanya chunguzi mbalimbali katika sayari hiyo ni Umoja wa falme za kiarabu ambapo inaendelea kuweka sawa mazingira kabla ya mission ya kutua sayarini humo katika miaka mingi inayokuja
Wanaungana na wale wa one way ticket to Mars au wanakwenda kivyao
 
Jambo la ajau zaidi ni kuwa north pole kunataka kuwa kama hapa duniani hali ya ubarafu. Kwanini hivyo?
 
Swali la msingi hawajaweza kunasa mwendo wake na namna inavyozunguka jua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom