msinogewe sana na hivi visa.. nimeshasababisha ugomvi kwenye nyumba ya mtu na siku moja msibani baada ya mtu kunipa pole ananiambia habari za visa hivi.. so.. zinazokuja hazitakuwa za ndani namna hii sana ili nitazinogesha hadi mahali fulani yale ambayo sitayaweka nitayaacha mawazoni mwa watu tu.
Hivyo visa hivi vingi ni vile nilivyoandika kuanzia 2007 kwenda nyuma.