Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 464
- 891
Habari zenu wana janvi.., Kuna kitu kinaniumiza saaana kwa sas kuhusu WACHIMBAJI WADOGOWADOGO.
Toka afariki aliyekuwa Rais wetu imeanza kujitokeza chokochoko katika migodi midogomidogo huko Geita pamoja na Shinyanga.
Migodi hii ni moja ya sekta ambayo imeajili watu wengi saaana warika na elimu tofautitofauti.
Tunamuomba saana mama yetu huyu mama Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania atazame kwa jicho la pili sekta hii, maana kuna watumishi wake tayari wameshaanza kufanya yao.
Joto ni kubwa saana kwa sas maana hofu kubwa nikufukuzwa katika migodi hiyo ambayo Rais aliyetangulia alituhakikishia kufanya kazi kwa amani na utulivu.
Tunamuomba sana mam yetu Samia pamoja na jopo lake kwa ujumla watulinde ili na sisi tunaopata riziki kupitia sekta hii tuendelee kuwa na amani katika hii kazi yetu ya uchimbaji.., maana wao ndio wenye maamlaka katika Nchi hii. Mungu ibariki Tanzania., Mungu bariki kazi ya mikono yetu.