Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,090
- 8,457
mafuta ya naziNaomba kuuliza aina ya madini yanayopatikana zanzibar
MchangaNaomba kuuliza aina ya madini yanayopatikana zanzibar
Wasukuma baba zangu, kuna mmoja alikuja Kilosa alilima mpunga eka kama 4, akapata gunia 120, akauza zote, akafanya sherehe ya kuuaga umaskini, akarudi kwao huko. Miezi mi4 bandage akarudi hana hata hela ya kulimia, na kila akilima tokea hapo anaangukia pua.Na nyie mkishamake muwe mnaondoka huko mnaenda wekeza mijini ..wasukuma mkojee??khaa..jitu lina 20 yrs lipo tu huko ..chaa..
Mafuta haha
Hawataki kukuaNa nyie mkishamake muwe mnaondoka huko mnaenda wekeza mijini ..wasukuma mkojee??khaa..jitu lina 20 yrs lipo tu huko ..chaa..
Watalia sana walikua wakifurahi matajiri wakiumia basi wao meno nje..shenzi typWanyonge walinyanyasa sana wafanyabiashara wakubwa, waliuza vitu milangoni pa walipa kodi wakubwa hivyo kuzuia wasiuze kabisa.
Nafikiri dawa ya mnyukano huu ni kila mtu kutengewa eneo lake sawa na biashara zake...very soon machinga wataanza kulia pia
Gunia 120 unafanya sherehe?😆😆😆 dingi yangu anakusanya zaidi ya 600gunia kila mwaka anauza as mchele wenyewe dah ...atakua alienda kuoa au akaenda kwa wagangaWasukuma baba zangu, kuna mmoja alikuja Kilosa alilima mpunga eka kama 4, akapata gunia 120, akauza zote, akafanya sherehe ya kuuaga umaskini, akarudi kwao huko. Miezi mi4 bandage akarudi hana hata hela ya kulimia, na kila akilima tokea hapo anaangukia pua.
Sijui hata kilimkuta nini?? Na hao kuna kitu kinawakumba!
Everyday is Saturday............................... 😎
Hivi kuna mji wowote ambao biashara kubwa hazijavurugwa na machinga?Watalia sana walikua wakifurahi matajiri wakiumia basi wao meno nje..shenzi typ
Kutafuna wanawake weupeGunia 120 unafanya sherehe?[emoji38][emoji38][emoji38] dingi yangu anakusanya zaidi ya 600gunia kila mwaka anauza as mchele wenyewe dah ...atakua alienda kuoa au akaenda kwa waganga
Wenye makalio😒Kutafuna wanawake weupe
Ninaomba pia kujulishwa madini yanayopatikana Kigoma na lindi
Ongezea...makubwaWenye makalio[emoji19]
...MCHANA MWEMA MAANA UMEFANYA NIMECHEKA PEKE YANGU KWA SAUTI!Kutafuna wanawake weupe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]salimia wanawake weupe hukoo...MCHANA MWEMA MAANA UMEFANYA NIMECHEKA PEKE YANGU KWA SAUTI!
Kigoma ni chumviNinaomba pia kujulishwa madini yanayopatikana Kigoma na lindi
Mchanga,kokoto,matumbawe,Naomba kuuliza aina ya madini yanayopatikana zanzibar