Joti & Mpoki kumbe pesa ndo kila kitu

hueleweki!

Hiyo picha umeitoa kwenye Simu yako?
 
Sasa mbona jana ndo walikuwa mabishoo zaidi kuliko leo?
 
hata wewe ukiangalia picha zako za nyuma na za sasa utaona umebadilika 'siku hazigandi'
 
Mbona hiyo tarehe iliyowekwa kwenye pic ya zamani haisemi ukweli?
picha hiyo itakuwa imefanyiwa Reproduction hivyo haina shaka muonekano wa Picha na Tarehe... picha ya zamani lakini imepigwa upya... yaani ni unaipata picha ya zamani kama kwenye gazeti or popote unachukua kamera yako na unaipiga hiyo picha kama kamera yako ina weka tarehe basi itatokea hiyo tarehe uliyopiga picha
 
ulitaka nitoe kwenye simu yako!
Last edited by oduko; Today at 07:35.

Usiwe na kiburi picha yako ilikuwa haionekani kwa Udogo wake sasa umerekebisha then unakuja na majibu makali... Ukitindikiwa muhimili mtu na ukifanikiwa shukuru.

Umenikumbusha kuna jiranni yetu mzee aligoma kumsomesha mwanae eti akijaelimika atamtukana... kwa upande wangu nimefurahi umestuka na umeweka picha kubwa na nimeona ulichopost Nimefurahishwa.
 

pamoja sana
 
Safi sana lakini toka visimbuzi basi maana mi sina ubavu navo kwa sasa ndo nipo kwenye mabanda ya mia mia nayo si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…