GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,650
Hongera kwake wifi mzuri..
Anamzidi hata yule Demu ambaye alipewa ' Mimba ' na Ali Kiba ambapo hapa juzi kati walipiga picha ya pamoja wakiwa Mwanza na zimesambaa sana tu.
Hongera kwake wifi mzuri..
We unaonaje kwan![]()
Mtoa mada: Joti anaolewa au anaoa?
Mvue nguo nimwone sasa naonaje huku kavaaWe unaonaje kwan
Kama mimi ninavyoshangaa mkuu
Imagine unaambiwa huyu ni baba yako.![]()
Mtoa mada: Joti anaolewa au anaoa?
Sawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
kwanini mkuu
ndo bwana harusiSawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
Subiri ifike yako au ya mtu wako wa karibu ndo utashangaa natamani nikujue ili nije nicheke vizuri, endekeza hy tabia

wew ukienda utawakilisha wengineHakunaga Mababa wa hivi, labda awe baba wa mtu mwingine sio mimi.Imagine unaambiwa huyu ni baba yako.