Joti akila pasaka

Hivi pizza ni chakula cha maana eeeeh?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Farkhina huku mtu akils pizza anaonekana bonge la mjanja na fogo...!!!
 
Farkhina huku mtu akils pizza anaonekana bonge la mjanja na fogo...!!!

Acha kujitoa fahamu bhana,pilau sahani bei gani na pizza bei gani????!!!!
Unaongelea bei au nutritional value???!!!
Kimtaa pizza iko juu kweli sababu ya bei na ukiitaka kwa wengi unahitajika kuifuata huko iliko hapo unaongelea wese pia!!!!!!!

So in a way pizza ni popular urban culture so ina expenses juu ya pilau!!!!!
 

Hatubishani tunaelimishana naweza kuwa sahihi from my point of view nawe pia hivyohivyo au vice versa
 
pesa pesa pesa pesa.....jameni............
 
Kwa mtazamo wangu naona alikuwa kwenye kutengeneza mchezo, sidhani kama kwenye maisha ya kweli angeweza vaa kike tukiachilia mbali msuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…