Lakini hao Togo kwenye group wameshatoka ndo wa mwisho wana points 2 ,Sasa figisu za nini wakati washatolewaHizo figisu tu, huko Malawi nako Eng Thadeo lwanga alikutwa na Covid lkn baada ya vuta nikuvute vipimo vikarudiwa na akapatikana akiwa Negative ko usishangae Onyango akipimwa tena kesho na akawa Negative
Tujipe muda tuone vipimo vikirudiwa tena vitatoa majibu gani ..swala lakuwa wamwisho kwene group haikufanyi kukaa kinyonge siunaona Tz jana tumemfurusha mtu moja bila japo kwa point hizo hazitupeleki popoteLakini hao Togo kwenye group wameshatoka ndo wa mwisho wana points 2 ,Sasa figisu za nini wakati washatolewa
Olunga kaipatia wapiDoooh Daaah Duuuh kaipatia TZ?
Hiyo haiwazuii kutafuta pa kuangushia mbona al merekk walienda CAF japo ni vibonde wa kundiLakini hao Togo kwenye group wameshatoka ndo wa mwisho wana points 2 ,Sasa figisu za nini wakati washatolewa
Ni kweli, Juzi Malawi walifanya fitna hii kwa wachezaji wa Uganda. Ila Uganda wakaomba marudio ya kipimo toka kwa maofisa wa CAF majibu yakabainika wachezaji wa Uganda hawana Covid-19. Wakaruhusiwa kucheza.Sasa hivi Covid imeshakua plan b ya kutafta matokeo nje ya uwanja
Kama ana corona hatoweza kucheza mechi ya AS VITA
Kaikuta kenyaDoooh Daaah Duuuh kaipatia Tanzania?
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka midfielder Lawrence Juma have tested Covid-19 positive and as a result, they have not been included in the squad to play the Sparrowhawks" kwa wale wanaojua kingereza nimetuma hiyo kama nilivyoipata kutoka Kenya... na hovuyo kukosekana katika kikosi kilichokuwa kinacheza jioni hii dhidi ya Togo.
Tuombe apone mapema asikose mechi ya Jumamosi dhidi ya As Vital