chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Akichangia hotuba ya wizara ya ardhi na makazi, mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amesema kuna wafanyabiashara wakubwa wanaosababisha migogoro ya ardhi kwa kuchukua ardhi ya wananchi iliyokwisha tolewa na serikali kwa wnanchi, lakini serikali haichukui hatua na wananchi wanaonekana ndio wamevamia mashamba ya muwekezaji huyo.
Mojawaponi mhindi muwekezaji mwenye uraia wa Uingereza, anayeishi Tanzania anamiliki ardi,
Ardhi imefutwa na rais leo anaendelea kuimiliki na anaendelea kuiuza pia ametolea mashamba mengine mengi ambayo yameshatolewa na serikali kwa wananchi lakini wawekezaji hawataki kuyatoa, msikilize hapa