Joshua amekabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa sheria zipi haswa?
usihoji sheria wabunge wa chadema ni wa Tz
Joshua amekabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa sheria zipi haswa?
Yan kumbe kutengua matokeo ndo wamezindua kampeni kwa lema nchi nzima!khaaaaaaaa khaaaaaaaa
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove
Joshua amekabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa sheria zipi haswa?
sasa mheshmiwa wametoa ground gani za kukata rufaa?me naona kama rufaa itachukua mda mrfu sana mpaka hukum ije kutolewa. bora mambo mengine tuache haki yetu ipotee kwa manufaa ya umma ya kushuhudia kifo cha thithiem.
ahahahahahahahaha I love u Bro!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Dogo Janja ya Arumeru bado mabichi ya Arusha utayaweza? Mi nadhani ni wajibu wa wabunge wote wa CDM wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro kusimamia jimbo hilo na su kwa Dogo Janja kwani Mzigo alionao Arumeru ni balaa.
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove
Piga Mzigo Nassari tunajua mbunge mmoja wa Chadema ni sawa na wabunge 50 wa magamba
Duh Naikubali sana CDM, wana mikakati ya kweli ya kuiondoa CCM 2015, Cha msingi ni kukubaliana na Viongozi wa CDM kwa watakachoamua maana hawa jamaa wana taarifa nyingi sana na za kiinteligensia, Hapa issue kubwa ni kuhakikisha kamanda Lema na Dr Slaa wanazunguka Nchi nzima kwa Choper na kuhakikisha watu wanapewa elimu ya katiba mpya...
Sisi tupo M4C tunaiwezesha, Ni heri nile mlo mmoja kwa siku ili CCM iondoke madarakani 2015 kuliko kuendelea kukosa dawa hospitali kwa maisha yangu yote na watoto wangu na wajukuu..
C.C.M there is no way waka revive,na wasipokua makini wataondoka madarakani kwa nguvu,maana dimbwi la vijana wenye hasira,wasiokua na ajira,na waliokatishwa tamaha na nchi yao ni wengi sana,vijana wa namna hiyo ni rahisi sana kuhamasika na kuchukua hatua za kung'oa uongozi wa nchi kwa maandamano hata kwa nguvu!hakuna kitu kibaya kama vijana wame elimika alafu wapo mtaani tu huku kikundi kidogo cha matapeli kinatafuna rasilimali za nchi as if wao ndio nchi yao pekee!hii ya Lema kuzunguka nchi nzima kuamsha vijana ni hatari sana kwa c.c.m,maana Lema ana convincing power ya ajabu!tunakusubiri Moro kamanda Lema,tupate shule toka kwako,maana watu wa Moro bado wamelala kidogo,nchi nzima inatakiwa iwe kama Arusha,Mbeya na Mwanza,hata Dar bado sana japo ni jiji!