Joshua Nassari akabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa muda

Nguruwe wa shamba la wanyama(ccm) imekula kwao mabadiliko ayoooooo

peopleeeeeeeeeeezzzzzzzzzzz powerssssssssss
 
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove

Huu mwitikio wetu kwenye hili umenifurahisha na kunipa faraja sana.Hakika hapa ile shaka yote ambayo CCM walikuwa nayo kuhusu kama tumewazidi ujanja ama la,sasa imekwisha...kwa huu mpango wetu wa kutengeneza lemonade kwa kutumia lemon aliyotupa hakimu,nina hakika magamba wanatamani wangerudi wiki iliyopita wa-revise uamuzi wao wa kuuchukua ubunge wa mpiganaji wetu....ki-Arusha tunasema IMEKULA KWAO MAZIMA.
 
sasa mheshmiwa wametoa ground gani za kukata rufaa?me naona kama rufaa itachukua mda mrfu sana mpaka hukum ije kutolewa. bora mambo mengine tuache haki yetu ipotee kwa manufaa ya umma ya kushuhudia kifo cha thithiem.

Kwa mujibu wa mbowe,rufaa ya kes ya uchaguz inatakiwa isikilizwe ndan ya miez kumi na mbili na sivinginevyo but ametoa msisitizo huenda ata hiyo miez kum na mbil isifike
 
kinachofanyika sasa ni kama kumuweka huru simba mwenye njaa. Kosa walilofanya ccm na mahakama yao ni kumnyang'anya lema jimbo wakidhani atapwaya. Wamempa fursa ya kuzunguka nchi nzima kutangaza neno la haki. Awali wangesema katoroka jimbo lakini sasa hawana la kusema. Haya mambo kama yamepangwa vile, kwamba lema awekwe huru kwa muda kuzungukz nchi nzima kisha arudie jimbo lake. Na huu mpanga (SADLY) unapangwa na ccm wenyewe
 
Kweli kabisa watu wa morogoro wakisikia unamiliki.mabasi unapata ubunge

QUOTE=1800;3649506]C.C.M there is no way waka revive,na wasipokua makini wataondoka madarakani kwa nguvu,maana dimbwi la vijana wenye hasira,wasiokua na ajira,na waliokatishwa tamaha na nchi yao ni wengi sana,vijana wa namna hiyo ni rahisi sana kuhamasika na kuchukua hatua za kung'oa uongozi wa nchi kwa maandamano hata kwa nguvu!hakuna kitu kibaya kama vijana wame elimika alafu wapo mtaani tu huku kikundi kidogo cha matapeli kinatafuna rasilimali za nchi as if wao ndio nchi yao pekee!hii ya Lema kuzunguka nchi nzima kuamsha vijana ni hatari sana kwa c.c.m,maana Lema ana convincing power ya ajabu!tunakusubiri Moro kamanda Lema,tupate shule toka kwako,maana watu wa Moro bado wamelala kidogo,nchi nzima inatakiwa iwe kama Arusha,Mbeya na Mwanza,hata Dar bado sana japo ni jiji![/QUOTE]
 
Dogo Janja ya Arumeru bado mabichi ya Arusha utayaweza? Mi nadhani ni wajibu wa wabunge wote wa CDM wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro kusimamia jimbo hilo na su kwa Dogo Janja kwani Mzigo alionao Arumeru ni balaa.

Ni kweli usemavyo lakini lazima kuwe na kiongozi. Wengine wa manyara, Arusha na K'njaro watafanya kazi hiyo vile vile wakiongozwa na JN.
 
Piga Mzigo Nassari tunajua mbunge mmoja wa Chadema ni sawa na wabunge 50 wa magamba
 
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove

Nimeipenda hiyo, tukate rufaa then kifuate cha mbele. HOFU YANGU NI HIYO RUFAA ENDAPO ITAPIGWA KALENDA NA DANADANA MPAKA 2015
 
Duh Naikubali sana CDM, wana mikakati ya kweli ya kuiondoa CCM 2015, Cha msingi ni kukubaliana na Viongozi wa CDM kwa watakachoamua maana hawa jamaa wana taarifa nyingi sana na za kiinteligensia, Hapa issue kubwa ni kuhakikisha kamanda Lema na Dr Slaa wanazunguka Nchi nzima kwa Choper na kuhakikisha watu wanapewa elimu ya katiba mpya...

Sisi tupo M4C tunaiwezesha, Ni heri nile mlo mmoja kwa siku ili CCM iondoke madarakani 2015 kuliko kuendelea kukosa dawa hospitali kwa maisha yangu yote na watoto wangu na wajukuu..

Wewe kweli Kamanda, Mlo mmoja. Hapa CCM wana kazi kweli. halafu watu kama hawa wako wengi.
 
na kama ajira zenyewe walizosomea hawapati kazi . hawana cha kupoteza ila ni kurisk kuingia kwenye siasa ambako ccm magamba wanang'ang'ania badala ya kustaafu na kwenda kulea vijukuu. kwanza wazee hao wa ccm hawana mvuto kama vijana wa jeshi la chadema ccm ni lazima wajue vijana wataipenda kwa hakuna ubaguzi wa kusema huyu hajaoa muda wake bado. on average wabunge wa Chadema wako kwenye early thirties ukilinganisha na ccm ambao average age yao ni sixty years. a school of thought
C.C.M there is no way waka revive,na wasipokua makini wataondoka madarakani kwa nguvu,maana dimbwi la vijana wenye hasira,wasiokua na ajira,na waliokatishwa tamaha na nchi yao ni wengi sana,vijana wa namna hiyo ni rahisi sana kuhamasika na kuchukua hatua za kung'oa uongozi wa nchi kwa maandamano hata kwa nguvu!hakuna kitu kibaya kama vijana wame elimika alafu wapo mtaani tu huku kikundi kidogo cha matapeli kinatafuna rasilimali za nchi as if wao ndio nchi yao pekee!hii ya Lema kuzunguka nchi nzima kuamsha vijana ni hatari sana kwa c.c.m,maana Lema ana convincing power ya ajabu!tunakusubiri Moro kamanda Lema,tupate shule toka kwako,maana watu wa Moro bado wamelala kidogo,nchi nzima inatakiwa iwe kama Arusha,Mbeya na Mwanza,hata Dar bado sana japo ni jiji!
 
Hapo kwenye red, umenifurahisha mkuu!
 
Back
Top Bottom