Joshua Nassari akabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa muda

Arusha haina mbunge wa viti maalum? au Kilimanjaro hakuna viti maalum. Nadhani ni mzigo mkubwa sana kwa Nassari kuongoza majimbo mawili yenye matatizo mazito.
Hata mimi nilijiuliza sana hili swali, joyce mukya, rebeca mngodo na cessy pareso anayetegemea kuapishwa hawawezi kusimamia jimbo???
 
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove

Hapo patamu lakini kazi ipo.
 
TAFADHALI SANA: Pamoja na Dr SLAA,Mh Lema aambatane na kichwa kimoja makini toka Zanzibar ili kuwashawishi kwa 100% watu wa Lindi,Mtwara,Tanga na Pwani.Bila shaka mtakuwa mmenielewa ninachomaanisha.
 
Back
Top Bottom