mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
WANABODI, Nawasalimu nyote nilikuwa ngerenanyuki kwa ajili ya ziara za kichama za ccm tumekutana na matatizo mengi ya wananchi wa maeno yale kubwa haswa ni ahadi aliyotoa mbunge wao wa chadema kipindi cha kampeni kwa kuwajengea kisima lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika,hii ni hatari kwa hata viongozi wa upinzani kuwadanganya wananchi na kutoa ahadi hewa,nasari kuwa makini hili ni mtego kwako 2015,ukirudi tena ni ndoto tuombee MUNGU tusifike huko, kumbuka ni visima vingapi uliwahaidi wanameru na vile vya mzee ndesamburo.nawasilisha