Joshua nasari na visima meru

Joshua nasari na visima meru

Nassari ni Mbunge mchapakazi, kipindi cha kampeni aliahidi kushusha bei ya sukari jimboni kwake.
Mkuu Ritz wewe unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
WANABODI, Nawasalimu nyote nilikuwa ngerenanyuki kwa ajili ya ziara za kichama za ccm tumekutana na matatizo mengi ya wananchi wa maeno yale kubwa haswa ni ahadi aliyotoa mbunge wao wa chadema kipindi cha kampeni kwa kuwajengea kisima lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika

Vp Kigoma imekuwa Dubai?
 
Back
Top Bottom