Joshua Nasari kuachia ushahidi mwingine wiki hii

Joshua Nasari kuachia ushahidi mwingine wiki hii

Ajabu mpaka sasa mnyeti na maofisa wenzie wako ofisini !
Pamoja na viroja vya shite,ulishawahi kusikia hata fununu za hatua kuchukuliwa?
Kila leo the boss yuko majukwaani kumsifu,eti tuige! Tuige nini?
Kuvamia ofisi za watu? Kufoji vyeti? Eh
Kwa hiyo hata hao sitarajii kuna hatua itachukuliwa,hizo ndio mila na destuli za CCM,
Mnahubiri maji huku mnakunywa gongo.
 
Wewe Nassari shughulika na Kero za Wananchi kama wamenunuliwa au hawajanunuliwa itakusaidia nini? Wananchi wako wa Arumeru wanahitaji Maji, Elimu bora, Umeme, Barbara, Makazi bora na Uhakika wa Chakula. Hizo Picha za Kihindi unazotengeneza hazitakusaidia chochote na wala usifikiri PCCB ni waigizaji kama wewe. Mbaya zaidi hao unaosema wamepitishwa na CCM kugombea hizo Kata na kampeni zinaanza tarehe 28.
Niseme wazi mimi binafsi nilikuwa nampenda Nassari na mara nyingi nilimsifia kwa kazi azifanyazo jimboni kwake.ALIKUWA mtu serious anayehangaika na jimbo asiyependa siasa za maji taka za akina godbless lema lakini toka ashikwe kalewa na chupa ya pombe akitaka kuingia nayo bungeni nikajua Nassari sie yule niliyekuwa namjua.kabadilika.Yawezekana ulevi aliouanza wa kunywa kupindukia umeharibu akili yake.Lakini kwa vitu hivi anavyofanya Nassari serious haviko level yake ni too low.AWAACHIE akina GODBLESS LEMA NA MSIGWA WENYE IQ NDOGO
 
TAKUKURU sio wanasiasa. Ukiwapelekea upuuzi wanaweka kwenye dust bin tu.
Tumia kichwa kufikiri

Hakuna asiyejua kuwa wana act selectively. Ndio maana kina Kangi hawakupelekwa kokote, ndio hata ile Rushwa ya milioni 10 kwa wabunge hakuna kilichofanyika, ndio maana Kitilya, Sinare na Sioi wako ndani lakini walishiriki kosa ni wengi na wengine wako uraiani, ndio maana Bashite hana cheti na yuko kazini, ndio maana Sethi na Rugemalila wapo ndani washirika wao wwote wapo nje, ndio maana Lugumi yupo anakula bata, nk,
 
Hahaaaa. Pabaya gani? Ule ushahidi wa kwanza umeprove failure, sasa huu wa pili una msaada gani? au kuna madiwani wengine wapya wamehongwa? Fikiria tu kirahisi, ni ushahidi gani huwakilishwa nusunusu kama ni ushahidi halali? Dhamira ya kuwakilisha nununusu ni nini? Wataaibika vibaya sana safari hii, wanadhani kila kitu unaweza kutumia kupata kiki. Utaniambia.

Mkuu vipi, kanma hujashikwa pabaya mbona tena unaanza kutoa povu, si usubiri huo ushahidi uuone, Amesema atautoa we usubiri tu.
 
chadma nichama zaidi ya ccm wanavyowaza tunapowaambia sayansi ya siasa watanzania hawajui,Kamanda lete kitu kingine.Tunasubiri ccm uchaguzi ngazi ya ubunge udiwani na makando kando yake tuone kama uchaguzi utakwenda na ampeni za usiku za nyumba kwa nyumba
 
Licha ya kutishiwa maisha mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema Mh.Nasari ataachia ushahidi mwingine namna madiwani walivyonunuliwa na CCM

Katika ukurasa wake wa Facebook Nasari amesema ushahidi huo utaachiwa kwanza kwa wanahabari kabla ya kupelekwa PCCB.
Mmh tuombe aifikie siku hiyo salama
 
Back
Top Bottom