Joshua Nasari kuachia ushahidi mwingine wiki hii

Joshua Nasari kuachia ushahidi mwingine wiki hii

Ushahidi gani tena? ule mwingine umebaki kuwa takataka? Nassari aache siasa za kutafuta kiki. Akiwaiga akina lema atapotea katika siasa.
Eti ee,wenzio kitete kinataka kuwaua,ugonjwa wa moyo.
 
siku ya kutembea uchi unakutana na mkweo...... mwaga radhi dogo janja
 
Wewe Nassari shughulika na Kero za Wananchi kama wamenunuliwa au hawajanunuliwa itakusaidia nini? Wananchi wako wa Arumeru wanahitaji Maji, Elimu bora, Umeme, Barbara, Makazi bora na Uhakika wa Chakula. Hizo Picha za Kihindi unazotengeneza hazitakusaidia chochote na wala usifikiri PCCB ni waigizaji kama wewe. Mbaya zaidi hao unaosema wamepitishwa na CCM kugombea hizo Kata na kampeni zinaanza tarehe 28.
 
Ukiona hivyo, there is nothing material fact tendered as evidence. Blah blah tu.
 
Watu wengine muwe mnafikiri kabla ya kuandika ili kuficha ujinga wenu muwe na aibu hata kidogo. Kama ushahidi hauna nguvu mbona hao takukuru wame patwa na kigugumizi na hawaongei kitu chochote? Mbona sasa hawajamfungulia nasari kesi ya kusema uongo?
Hapo mkuu una hoja nzito,kwa hiyo Mnyeti kakamatwa!!
 
Watu wengine muwe mnafikiri kabla ya kuandika ili kuficha ujinga wenu muwe na aibu hata kidogo. Kama ushahidi hauna nguvu mbona hao takukuru wame patwa na kigugumizi na hawaongei kitu chochote? Mbona sasa hawajamfungulia nasari kesi ya kusema uongo?
Mkuu,hawa jamaa akili zao ni za ajabu sijapata kuona,ushahidi hauna nguvu kwao ila kwa Wananchi wenye akil una nguvu hatar,ngoja wauchukilie tu poa,ila madhara yake ni makubwa
 
Ushahidi gani tena? ule mwingine umebaki kuwa takataka? Nassari aache siasa za kutafuta kiki. Akiwaiga akina lema atapotea katika siasa.
Wewe nawe acha kutumia mdomo kama kijambio.
 
Napenda sana hawa jamaa wanavyowabana ccm kooni...
Nahisi hawa jamaa wanaweza kuwa na clip za JPM akiwa anakata gogo ikul
 
Mwandishi yeyote makini anatakiwa amhoji awape ushahidi kuthibitisha Kama hako kaflash sio feki Kabla hata kukawasha. Waandishi wengi hawachukuliwi mashirika makubwa Ya habari Kama CNN, BBC, Nk sababu hawaonyeshi uwezo wao kama journalists. Waitumie hiyo nafasi kikamilifu waulize maswali yaliyokakamaa ambayo yaweza beba headline hata za vyombo vya habari vya nje. Hiyo press ni sehemu ya Waandishi kutokea na kuwindwa kuchukuliwa na media kubwa wakiona muuliza maswali yuko fit.
Hata wewe una haki ya kuhoji,mtafute kwa muda wako
 
Back
Top Bottom