Joshua Nasari kuachia ushahidi mwingine wiki hii

Mwenye ushahidi kwamba Bashite alipata daraja 0 form 4 kisha akatumia majina ya watu wengine aupeleke TAKUKURU pia, maana hiyo nayo ni rushwa na ufisadi. Tutamwita Mwl. Ruhumbika akatoe ushahidi wa uhakika kwani anamfahamu vizuri sana.
 
Licha ya kutishiwa maisha mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema Mh.Nasari ataachia ushahidi mwingine namna madiwani walivyonunuliwa na CCM

Katika ukurasa wake wa Facebook Nasari amesema ushahidi huo utaachiwa kwanza kwa wanahabari kabla ya kupelekwa PCCB.
Vipi mzee wa flash sasa hivi anaandamana na flash ya GB ngapi?
 
Usimfanye mzee wa watu akapitiwa na Nissan nyeupe
 
Vipi mzee wa flash sasa hivi anaandamana na flash ya GB ngapi?
Ataenda uza sura tena kwa reporters wa vyombo vya habari .Tatizo Tanzania tuna reporters wengi not journalists. Reporters ni kama wambeya tu WA barabarani akiwaonyesha Flash mareporter wataandika hivyo hivyo na kutangaza hivyo hivyo. Hata hawajiongezi hata kuhoji kuwa kwa Nini uje kuuza sura yako kwetu kwa nini hicho kiflash chako usikipeleke direct takukuru kwa Nini utuletee sisi journalists kwanza wakati sisi sio wataalamu wa kujua kaflash kako fake or not? Vyombo vya habari ambavyo vina journalists na sio reporters tu ni vyombo vya habari vya IPP media, vyombo vya habari vya serikali na CCM. the rest wana reporters Tu sio journalists
 
Kama Mbwai iwe Mbwai tu .
Mwandishi yeyote makini anatakiwa amhoji awape ushahidi kuthibitisha Kama hako kaflash sio feki Kabla hata kukawasha. Waandishi wengi hawachukuliwi mashirika makubwa Ya habari Kama CNN, BBC, Nk sababu hawaonyeshi uwezo wao kama journalists. Waitumie hiyo nafasi kikamilifu waulize maswali yaliyokakamaa ambayo yaweza beba headline hata za vyombo vya habari vya nje. Hiyo press ni sehemu ya Waandishi kutokea na kuwindwa kuchukuliwa na media kubwa wakiona muuliza maswali yuko fit.
 
Licha ya kutishiwa maisha mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema Mh.Nasari ataachia ushahidi mwingine namna madiwani walivyonunuliwa na CCM

Katika ukurasa wake wa Facebook Nasari amesema ushahidi huo utaachiwa kwanza kwa wanahabari kabla ya kupelekwa PCCB.
Mbona ule wa kwanza takukuru hawajaufanyia kazi?
 
Kunako anga za Lumumba hali imechafuka, kila mmoja anaongea lugha yake
Sio siri ataa magu mwenyewe amepiga kimya .huenda itambadilisha ataa tabia .hii dude la Nasary sio ya kitoto .maccm kila mtu anaongea lugha yake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwandishi yeyote makini anatakiwa amhoji awape ushahidi kuthibitisha Kama hako kaflash sio feki Kabla hata kukawasha. Waandishi wengi hawachukuliwi mashirika makubwa Ya habari Kama CNN, BBC, Nk sababu hawaonyeshi uwezo wao kama journalists. Waitumie hiyo nafasi kikamilifu waulize maswali yaliyokakamaa ambayo yaweza beba headline hata za vyombo vya habari vya nje. Hiyo press ni sehemu ya Waandishi kutokea na kuwindwa kuchukuliwa na media kubwa wakiona muuliza maswali yuko fit.
Waandishi huuliza maswali kwa jambo lisilofahamika , hili linajulikana wazi ila ushahidi huu ni kuthibisha tu kwamba walikoamkia ndiko tulikolalia .
 
Mimi nimesomea uandishi wa habari najua tofauti ya reporter na journalists. Reporters ukinya barabani kesho watatangaza kuwa yehodaya kanya barabarani na picha wataweka front page kwao hiyo ndio habari Ya uhakika! Na wataweka watu walioona yehodaya akinya! Hao ni reporters ! Jounalist ataenda mbali atamhoji yehodaya na madaktari kabla Ya kutoa habari kwa nini yehodaya akiwa na akili kanya barabarani .Yehodaya atasema ninaharisha daktari atasema kaharisha ghafla sababu alikosa breki haharishi kawaida anaumwa kipindupindu Watu wakae mbali na kinyesi cha yehodaya wawe Waandishi au yeyote.Reporters akishapata hizo taarifa Ndio aenda tangaza hiyo story chombo cha habari lakini reporters ambao wengi ndio chadema hupenda kuwatumia Kama Press ni mibwege fulani hivi
 
Ngonjera tupu !
 
Hahaaaa. Pabaya gani? Ule ushahidi wa kwanza umeprove failure, sasa huu wa pili una msaada gani? au kuna madiwani wengine wapya wamehongwa? Fikiria tu kirahisi, ni ushahidi gani huwakilishwa nusunusu kama ni ushahidi halali? Dhamira ya kuwakilisha nununusu ni nini? Wataaibika vibaya sana safari hii, wanadhani kila kitu unaweza kutumia kupata kiki. Utaniambia.
Ni kweli ushahidi wake hauna maana kwasababu video ya kwanza walioonekana hawakuwa watu,bali walikuwa panya.
 
Licha ya kutishiwa maisha mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema Mh.Nasari ataachia ushahidi mwingine namna madiwani walivyonunuliwa na CCM

Katika ukurasa wake wa Facebook Nasari amesema ushahidi huo utaachiwa kwanza kwa wanahabari kabla ya kupelekwa PCCB.
Usanii mtupu
 
Ni utoto wa kisiasa tu.
Hofu ya Nasari ni kutorudi mjengoni 2020.

Ila mbona bado mda unatosha kwa kuwaletea maendelea wananchi wake?
 
Back
Top Bottom