Josephine unazidi kumharibia Slaa, hutakaa uwe First Lady wa nchi hii

Josephine unazidi kumharibia Slaa, hutakaa uwe First Lady wa nchi hii

Status
Not open for further replies.
Ha! Ha! Ha! Haaaa! janaume zima unakuja na TAARABU ZA MAJI TAKA HAPA ? MUONGO MKUBWA NA MZANDIKI WA KIWANGO CHA CHINI SANA ! mkumbo na mwigamba walikiri kuhusika na waraka , lakini wewe unaleta NGONJERA ZA TAMBALIZENI ! POOR YOU ! NIMEKUDHARAU MOJA KWA MOJA MPAKA PALE UTAKAPOTWALIWA NA SHETANI ( MAANA MUNGU HAHITAJI MTU KAMA WEWE )
 
Wewe utakuwa ni Aunt Grace tu!

Ubaya ni kwamba Dr Slaa hachukui MASHOGA!

Sisi ndo wapiga kura,Tumejiandaa kumpeleka Dr Slaa Magogoni kama hutaki KUNYWA SUMU!

Pia kumbuka,nitafute!!!

NINATIBU WIVU!
Magogoni chuo cha secretarial?
 
Nakubaliana na wewe,yule ndo anamharibia dr,kwanza Josephine mushumbuzi ni jini mahaba yule hawezi kuwa first lady,kanamganda babu yule ana nini wakati hata nguvu hana,
 
Inshort Chadema hakuna viongozi ambao wanaweza kuliongoza Taifa hili kama tunavyofikiria kwani wote waongezwa na mihemko ya uongozi wa juu. Kama Halima hatarudi Kawe nionavyo mimi, hata mnyika hatarudi Ubungo. Kwahiyo chadema wanakazi ya kufanya kwani watajikuta wanarudi nyuma maili mbili baada ya kutembea kilomita 2. Mshumbushi a.k.a mama slaa hana sifa za kuwa firstlady kama ilivyo kwa bwana yake Slaa.
 
tutaangamiza taifa kama tutaruhusu slaa aingie ikulu, mzee hana maamuz mbele ya josephine
 
Sasa hizi ni siasa au majungu?, Kijana elimika kwani siasa zinajengwa kwa nguvu ya hoja na sio vijembe vya kwenye migahawa.
 
Samahani mnasema Josephine ni first lady mtalajiwa wa urais gani? Maana marais ni wengi nchini hata Wema ni first lady wa Rais wa wasafi Domo, kuna rais wa TFF na so, Sasa yeye u first lady kwa urais gani? Naombeni mnieleweshe wana JF??!.
 
ndio shida ya mapenzi ya uzeeni. dr.slaa ameshindwa kabisa kumcontrol josephin. dr.slaa anahitaji washauri nasaha afundishwe jinsi ya kuishi na mwanamke. maisha ya utawa yamemuathiri sana. kama mwanamke mmoja amemshindwa ndio ataweiweza kweli nchi ya watu milioni arobaini?
 
Samahani mnasema Josephine ni first lady mtalajiwa wa urais gani? Maana marais ni wengi nchini hata Wema ni first lady wa Rais wa wasafi Domo, kuna rais wa TFF na so, Sasa yeye u first lady kwa urais gani? Naombeni mnieleweshe wana JF??!.

ha ha ha. first lady wa misukule ya chadema
 
Tatizo lenu ni elimu!!!! Mngekuwa mmepevuka msingeleta mada za kipumbavu namna hii!!!! Mama wa watu katulia, nyie mnajifanya wajuaji, KAWAKOSEA NINI!!?? Mnatuletea masuala ya ndani ya nyumba hapa? Kama inakuuma Josephine kuolewa na Dr. Slaa, siukaolewe wewe!!?? EBO!!??

Nahisi kama mleta mada ni Mwigamba mwenyewe. Nasema ACHENI UPUMBAVU!! Leteni mada za msingi tujadiri sio upuuzi wa namna hii!!!
 
Kitaeleweka tu


Mosi,Nimeshangazwa sana kama siku hizi JF imefikia kiwango cha mtu kualika watu kumjadili mtu/watu.Hivi hadi uzi huu unafikia hatua hii Moderators wapo na wanafurahia tu? Tuhuma bila ushahidi zinaachwa tu

Ndio tumefikia hapa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu ni elimu!!!! Mngekuwa mmepevuka msingeleta mada za kipumbavu namna hii!!!! Mama wa watu katulia, nyie mnajifanya wajuaji, KAWAKOSEA NINI!!?? Mnatuletea masuala ya ndani ya nyumba hapa? Kama inakuuma Josephine kuolewa na Dr. Slaa, siukaolewe wewe!!?? EBO!!??

Nahisi kama mleta mada ni Mwigamba mwenyewe. Nasema ACHENI UPUMBAVU!! Leteni mada za msingi tujadiri sio upuuzi wa namna hii!!!

siyo SALUM kweli ?
 
Hivi CD zimeishia wapi vileee?? Naona mmeshindwa kipromote ACT mmeamuza kuwa wambeya tu sasa!!
 
Mtoa Maada kwa ushauri wangu wa bure...unazidi kuiangamiza ACT-Tz kwa mada za kipuuzi. Kwanza hicho ni chama chetu waha wa Ujiji. Huyo mwigamba, kitila ni kama waajiliwa wa saccos yetu. "waha kwanza....Taifa Baadae". Hii kaulimbiu ya mdau mmoja wa Fb inafaa sana.
Anaesema Mwigamba kaijenga cdm arusha hajitambui.Wanaomjua Mwigamba arusha mjini ni viongozi wa cdm ndani ya vikao.Arusha cdm imewekwa juu na LEMA. mia..
 
Mosi,Nimeshangazwa sana kama siku hizi JF imefikia kiwango cha mtu kualika watu kumjadili mtu/watu.Hivi hadi uzi huu unafikia hatua hii Moderators wapo na wanafurahia tu? Tuhuma bila ushahidi zinaachwa tu

Ndio tumefikia hapa.
Mkuu ndipo JF imeshafika, tupammmbane tu, hata bungeni ni upuuzi mtupu maccm yametufikisha hapa.

Hushangai thread za ACT zinavyopewa nafasi now days?

Kama kureport tunareport zen tunasonga mbele kwa mbele kitaelewa kuu.

Kijana wa kigoma kawa chief mods JF, wanataka kutuhamisha ila wanashindwa. Stay focused
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom