Mtimbaru,
Usihangaike naye/wao. Waache wapoteze muda wao sisi tunakata mbuga vijijini. Uzuri Watanzania wa vijijini wanatuelewa sana, pengine kuliko hata wa mijini. Kero kubwa ziko vijijini na kwa muda mrefu sana wamedanganywa. Hao wenye kutaka ku divert attention yetu kutoka kwenye "real and pertinent issues" waache tu usiaamshe.
Ukatoliki na uislamu is not an issue kwa mtanzania ambaye hana uhakika wa mlo wa siku, ambaye hana umeme, bei ya mkaa haishikiki, na bado "serikali yake" inapandisha bei ya masfuta ya taa toka shs 50 kwenda 400. Hawa wanatelewa sana, na tuko kwa ajili yao. Wenye muda wa kuchezea waacheni wauchezee wataujutia.