Slaa, mada kwenye hii nyuzi ni Josephine na kukanusha kwake kutumia watu sms, wewe unatuletea bei ya mafuta ya taa, unanini weyee?
Kama unaongelea bei ya mafuta ya Taa, kupanda bei, sababu unazijuwa vizuri sana na zimeelezwa bungeni, ili kunusuru kero ya mafuta mengine kuchakachuliwa imebidi mafuta ya ongezwe bei, na kuna Mbunge wa cdm akashauri kuwa hiyo kodi iliyoongezwa iende vijijni kusaidia hao wataoathirika kwa kupanda bei, na waziri akasema kasikia na watazingatia hilo.
Unataka kuchakuwa hata hii ya Josephine kwa kuingiza habari za mafuta ya taa? Unanshangaza!
Halafu, kwani wewe sio Daktari wa kanoni? au kanuni au kanun? kama zilivyoelezwa hapo Juu, huo udaktari wa waTanzania wote umeutoa wapi? au wa Tanzania tunaongozwa na kanoni bila wenyewe kujijuwa?