Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,319
- 271,647
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa