Mkuu nakupa tano, wapo wengi sana wa namna hiyo, angalia vyema safu ya mafisadi ndio hao hao tu. Watanzania utafikiri hatuna wana Usalama bwana ama huenda nao ni wageni pia..??
Tena idara ya usalama wa taifa ndo kuna wageni kibao, wengi ni kutoka kenya lakini wanajifanya ni wajaluo wa musoma.