Joseph Msukuma ni nani?

ni mwenye kitu wa ccm geita,alikuwa Rafiki wa lowasa ,anamiliki migodi mdogo midogo,ni mshirikina wa kufa MTU..ni political junk,anasoma upepo..
pia kuna tetesi kwamba anakundi LA wajambanoka,Kama wale walio vamia mgodi wa geita GGM.
juzi nilikuwa mwanza nikaona basi moja hivi limebandikwa stika zenye picha yake,nikahisi kichefuchefu sikusoma Kama anagombea ubunge ,diwani au uraisi..yaaan simpendi hadi sijui Kama anagombe uraisi au umwenyekiti wa chama au kitongoji
 
Ni kijana ambae kukosa Elimu hakujamkatisha tamaa katika kufanikiwa kimaisha,Ana akili sana kwa kweli la saba lakini mafanikio yake kaajiri wenye degree.Safi sana Joseph

Waulize Hao Wote Wanaomdhihaki Na Kumdharau MsukumaHumu Kuwa Pamoja Na Hizo B.A, M.A Na PhD Zao Mbona Wengi Wao Wanabeba Makreti Ya Soda Jiji La Texas Nchini Marekani Na Wanawachambisha Wazungu Wazee Nchini Canada Na Sweden Huku Wengine Tukibanana Nao Hapa Hapa Bongo Kwa Mishahara Yetu Ya Tsh Laki 7 Hadi 9 Kwa Mwezi Huku Damu Zetu Zikiwa Zimekomaa Kwa Kukopakopa Benki Na Vicoba? Sasa Kati Yetu Tunaojiita Wasomi Na Msukuma Asiyesoma Nani Mjanja Na Nani Lofa?
 
Ni kijana ambae kukosa Elimu hakujamkatisha tamaa katika kufanikiwa kimaisha,Ana akili sana kwa kweli la saba lakini mafanikio yake kaajiri wenye degree.Safi sana Joseph

Ooh anaitwa Joseph
 
Wewe ndio lofa
 
Simjui nasikia tu Msukuma, na wanasema anayo pesa chafu, anayo Elikopta, ni kijana mdogo.

Naombeni WanaJF niambieni kuhusu huyu mtu anafanya nini, anabishara gani??? Na je kama anayo biashara kodi zake analipa???

Ni jambaji chungu,sengerema wanamfahamu zaidi. Alifanya hiyo kazi kwa kutumia nguvu za ngiza. Lowassa ashkru kuwa mbali nae. Helicopter ilikuwa ya Lowassa ashanyang'anywa na ana hasira na Lowassa usipime. Ni mtu anayeeneza ukabila kwa wasukuma wezangu ambao bado hawajapata elimu ya kutosha.
 
action and reaction are equal and opposite.. alipokuwa timu safari ya matumaini..... alikuwa na maana nchi..hii kuondoa ujinga safari ni ndefu aiseee..
 
"chickens come home to roost" wamemfuga wenyewe ngoja awatukane sasa"
 
Nitafutie Matajiri Wote Wa Dunia Hii Unaowajua Wewe Ambao Ni WANENE. Ukishindwa Kuwatambua au Kuwajua Niambie Nikupe Mifano Yao au Nikutajie.

Kwani huyo tajiri?

Tanzania kila anaemiliki million 50 mnamuita tajiri !!
 
Jamaa ana mpunga ni hatarii hadi gari zake za kutembelea kasajili jina lake. chezea pesa wewe!
 
Kama Lowassa alivuruga itifaki kumpokea Msukuma Arusha na akamruhusu aongee kabla ya waliomtangulia na huku CCM ndio usiseme wanavyomheshimu kumbe anafaa kugombea hata urais wa Tanzania.
Inasemekana katika ukoo wao yeye ndiye maskini kuliko wote ingawa chopa aliyonayo kainunua sh trilion 215 kutoka kampuni inayounda madege ya kijeshi ya kimarekani ya Texas.
Msukuma oyee ....
 
Wewe Unamiliki Tsh Elfu Ngapi Mkuu?

Nikishakutajia uanze kuniita tajiri wakati sistahili kuitwa tajiri .

Huyu msukuma amechoka matajiri hawapo hivi ,matajiri ni wembamba lakini wamenawili tofauti na msukuma hajanawili yupo tu kama fukara.
 

Najua kwanini umemuulizia ni kwa sababu ya kutoa wazi kituko cha el alipokuja geita kila nikujibu ni miongoni kwa marafiki wakubwa sana wa lowasa,msukuma na rodtam
 

Kweli raisi wangu lowasa hakukosea vipaumbele
1.elimu
2.elimu
3.elimu
Wewe zuzu unaijua sh trillion 215 ?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…