Kingunge alikuwa mjamaa Enzi Za Nyerere, Enzi Za Kikwete Kawa fisadi, mtu unabadilika kutokana na mazingira na kucheza na fursa na yeye Sasa hivi atabadilika atamuunga mkono magufuli, kama alivyobadilika Sofia simba.
Mkuu,Hata wewe mahaba yako na CCM yatakutokea puani Ukawa itapotia timu
Mkuu,Kwahiyo funzo ni kwamba Msukuma aache kujipendekeza au aache kuwa Ndumilakuwili?
BACK TANGANYIKA
Duh! Kumbe msukuma anastahili adhabu kali....Magufuli na Mshukuma Ni mtu na mjomba wake
Mkuu,We huwajui hawa jamaa. Ulisikia alichokisema? kwanza kwa taarifa yako, Magufuri na Msukuma ni mtu na mpwa wake. Alikuwa kambi ya Lowassa kwa kuwa alikuwa wazi, Magufuri hakuwa wazi. lkn ni ndg kabisa
mkuu mmoja namjua tena yupo kwenye security detail ya mr invisibleMkuu Izzo ata mimi ili swala lilinitatiza kwelii!,nilijiuliza kwanini wanafanya hivyo wakati Mh.J.P.M bado ni mgombea tuu! kama wagombea wa vyama vingine...au sisi hatujui labda hao wanaomlinda mh. wameajiriwa na wanalipwa mishahara yao na chama tawala!..you never know!
hv hawa jamaa wanaomlinda maguful ni usalama wa ccm au usalama wa taifa kama ni wataifa basi wapelekewe ulinzi na wagombea urais wengne dah ccm wanatumia nguvu kaz ya wote kwa matumiz yao ya chama wale wanalipwa ela ya kodi ya wananchi tena wengne c wanachama wa ccm au wanalipwa ela za ccm?
Mkuu,Ninavyojua ni kuwa, Musukuma ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita & Magufuli anatokea mkoa wa Geita. Raisi Kikwete aliwaambia wagombea wakakae katika mikoa yao, na Magufuli alifanya hivyo. Musukuma ndiye kiongozi au boss wa Magufuli kichama kwa mkoa & he was the best option to seat next to. Wewe unaona kuna shida hapo? Mimi sidhani.
Mkuu,Labda alitumwa na magufuli kumuharabia Edo. U never know.
Uko sahihi mkuu. Kwa upande huo Alifanya kosa!Mkuu,Jaribu kusoma mtiririko wa hoja zangu ili uelewe msingi wa hoja yangu.Msukuma hakukitendea haki kiti cha Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM kwa sababu Kanuni haziwaruhusu Wenyeviti kumdhamini mtia nia yoyote achilia mbali kusimama kwenye media na kutoa vitisho kwa Kikao cha juu kabisa cha chama.