Joseph Msukuma ni nani?

Duuh pana ukweli fulani hapo.
 
Huyu ni team Mwigulu ila huwa hana msimo has a anapoona upepo unaenda ndivyo sivyo,ashaona Mwigulu ni Pupuni hivyo bora awahi safari ya matumaini. Ni msukuma mwenzetu mpiga dili za kufa mtu wakishiriki kutaifisha wananchi maeneo ya migodi huku akiwa amejificha mgogoni mwa hao wawekezaji uchwara. Kwa kifupi ukitaka matusi hapo ndipo chuo na Kuna kipindi alikuwa anamponda Lowassa kuwa ni mwizi na hafai.
 
Huyo jamaa jana amepata umaarufu sana,na inaonekana ni mtu muhimu sana kwenye timu ya Lowasa
 
kama unamfahamu MATATA meya wa ilemela huna yakujua MSUKUMA ni nan hawa ni maharamia flan ndani ya jamii ya TZ na hawa nisehemu ya anguko la chama tawala ,wote ni wafanya bihashara ya magendo'
 
Msukuma ni diwani na lishawahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya geita kuanzia 2010 ambapo 2012 aligombea uenyekiti wa ccm mkoa wa geita na kushinda na ndipo alipojiudhuru uenyekiti wa halmashauri
 

Pale stand nini????
 
Huyo Bwana ni tapeli tu,
Hana helcopter yoyote hiyo imekodiwa tu. Pia hiyo nafasi sijajua ccm wanachukua watu wakati wakijua kabisa kuwa ni matapeli wakubwa!
Nbc bank nini kawafanya mpaka sasa, ana madeni yasiyo na idadi kwa wananchi na taasisi,

atatumia kila alichonacho ili aendelee kuwa ktk nafasi hiyo,aliweka dhamana mashamba ya wananchi ili kuweza kuchukua pesa nyingi nbc, bank walitoa matangazo ya kuuza mali zake lakini nafasi yake ilimlinda mpaka sasa hajauziwa chochote,kuna mengi yanayomhusu ya kitapeli tu kuanzia Tanga, Mwanza,Geita na kijijini kwao Igati Bugando.
 
Hana basi hata moja kwa sasa,hana maduka yoyote ya jumla bali ana duka moja la used spare,hana ndugu yoyote nje ya nchi hvy usizungumze uzushi mkuu.
 
Mimi NACHOKA Kabisa Na Kusikia KICHEFUCHEFU.

Best kichefuchefu kwani una mimba tayari? Usipate kichefuchefu bana. Mara ya kwanza kumuona huyo msukuma nilichoka......... V8 yake kwenye plate namba imeandikwa msukuma
 
Dola 100,000 tu,mkuu zimejaa kibao sauz

cheki www.helcopter.co.za check ktk used hapo haipungui us dollar 900,000 iyo bei unayotaja bei za magari tena used ktk auction range rover 2014-15, mashangingi ya wabunge bei kuriko chopa? Ndio maaana zipo chache na wanamiliki wachache.
 
Mkuu kama tulikuwa wote!
Hadi Lowasa aliacha jukwaa na kushuka kwenda kumpokea!

Kibonde akakatisha orodha ya wa wasemaji waliotangulia na kumwita msukuma ambaye ndo amefika tu!
(Nikajiuliza sana huyu jamaa ni nani )????????

Huyu ni team Magufuli, nilivyoona ameungana na Eddo, Kanda ya Ziwa nina wasi wasi wakamsupport Eddo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…