Joseph Mbilinyi (Sugu), ni noma

Joseph Mbilinyi (Sugu), ni noma

CHADEMA na UKAWA kupitia Prof.Lipumba walikuwa wanashinikiza uandikishaji usitishwe kwa sababu una kasoro nyingi sana(kwa mujibu wao) pia wakasema uchaguzi mwaka huu hautakuwepo kwa sababu muda wa kuandikishwa watu wote hautoshi.

Dr.Slaa akiongea siku alipotua uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere akitokea Marekani alisema BVR ni ufisadi mtupu. Huku akisisitiza kuwa mfumo huo haujawahi kufaulu sehemu yeyote ile duniani.

Sasa huu mpango wa CHADEMA na washirika wake kujidai wao ndio vinara wa kushawishi watu wajiandikishe umetoka wapi? Ina maana wameshasahau mapingamizi yao ya awali serikali ilipoanza mchakato huu?

Ni Lini BVR imekuwa sio mpango wa kifisadi kama alivyotuambia Mzee Slaa? Ni lini Lipumba na Mbowe wamegeuka na kuiunga Mkono serikali kuhusu uandikishaji huu?

CHADEMA na UKAWA acheni kuwa vigeugeu!
 
sugu wana mbeya wamemkataa kwa kuwa wamegundua ni mvuta bangi wamesema endelee na vituko vyake kama hivyo kumalizia muda wake.
 
lendila

Kwani wakijitokeza na kujiandikisha ndio wataichagua chadema sasa!!?
 
Last edited by a moderator:
kamanda Sugu kila la heri endeleeni kutoa elimu kila mahali huu ndo mwaka wa mwisho kwa utawala wa ccm njia sahihi ya kuindoa ccm ni kujiandikisha na kupiga kura .
 
mussa alaan upo?jenga hoja acha kujifanya huoni kazi nzuri ya mh sugu

CHADEMA na UKAWA kupitia Prof.Lipumba walikuwa wanashinikiza uandikishaji usitishwe kwa sababu una kasoro nyingi sana(kwa mujibu wao) pia wakasema uchaguzi mwaka huu hautakuwepo kwa sababu muda wa kuandikishwa watu wote hautoshi.

Dr.Slaa akiongea siku alipotua uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere akitokea Marekani alisema BVR ni ufisadi mtupu. Huku akisisitiza kuwa mfumo huo haujawahi kufaulu sehemu yeyote ile duniani.

Sasa huu mpango wa CHADEMA na washirika wake kujidai wao ndio vinara wa kushawishi watu wajiandikishe umetoka wapi? Ina maana wameshasahau mapingamizi yao ya awali serikali ilipoanza mchakato huu?

Ni Lini BVR imekuwa sio mpango wa kifisadi kama alivyotuambia Mzee Slaa? Ni lini Lipumba na Mbowe wamegeuka na kuiunga Mkono serikali kuhusu uandikishaji huu?

CHADEMA na UKAWA acheni kuwa vigeugeu!
 
Nyie waambieni wajiandikishe kwa niaba ya Lowasa
 
lendila

alikua maeneo gani mkuu Jimbo , Bweni , Donge Marimbani mwembemtu Utende au hapo Kilindoni tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom