nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
sugu awe mpole maana awakawii wale mawakala wa ccm waitwao wakurugenzi kuzuia watu wasijiandikishe kisa wanashabikia upinzani. kama ilivyotokea huko kiwira.
hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
mkuu hata kumsikiliza kwamba tukajiandikishe nasi tutakua wajinga vilevile.....?hivi mtu mjinga kama sugu na watu kumsikia na wao watakuwa wajinga vilevile
mnaompinga sugu tunajua idadi yenu hata hamko wengi hamtaweza kufanikiwa
Uyu jamaa nae ahadi zake feki aliahidi mabwawa mpaka sasa tee vumbi tu