Joseph Mbilinyi aka Sugu asema Nchi imevimba inasubiri kupasuka hivyo Waziri Masauni ni Bora akae kimya!

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu asema Nchi imevimba inasubiri kupasuka hivyo Waziri Masauni ni Heri akanyamaza tu

Sugu ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Anadhani Kila mtu kavimbiwa kama yeye? Mwambie aropoke tuu au akinukishe
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu asema Nchi imevimba inasubiri kupasuka hivyo Waziri Masauni ni Heri akanyamaza tu

Sugu ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Akina Masauni nao ni chenga tu.hakuna kitu.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu asema Nchi imevimba inasubiri kupasuka hivyo Waziri Masauni ni Heri akanyamaza tu

Sugu ametoa angalizo kupitia ukurasa wake wa twitter

Nawatakia Dominica njema!
Hoja za kipumbavu! Wasifikri hapa ni Kenya! Watapigwa mpaka wachakae!
 
Vijana wengi wa Tanganyika na Zanzibar ni wa hovyo sn hasa Makada hawafai hata kuchumbia ktk familia za kistaarabu. Angalia michango Yao kwenye huu Uzi, Yani ni chefu kabisa. Wanajitia Makada wafia vyama kumbe wanasukumwa na njaa zao tu.
 
Back
Top Bottom