Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

na mashabk walikuwa na mabango yenye maandish yanayopinga FIESTA Kufanyika sokoni. Wakidai shughul hyo itahalbu nyasi ambazo wapenz, mashabak na wafungwa wa gereza la rwanda walijitolea kubeba na kuzipanda.
 
Toka apigane Ngumi bungeni, amekosa mvuto kwenye jamii..

Wewe ndio maana watu wanasema kile kipimo cha IQ kwa WaTz kuonekana kiko chini sample walichukua kwako. Mvuto aliokosa ni kwa jamii ipi sasa? Unaambiwa watu wameacha kushangilia mpira wakamshqngilia yeye, unataka nini tena?
Leo kuwe na mpira pale Dodoma kisha mwambie Sitta, Wassira,Lukuvi,Komba au Ndugai waende halafu uone watapokelewaje ndio utakapojua kukosa mvuto maana yake nini.
 
hakuna mbunge mbumbumbu kama sugu. anapenda kampani za vijana wanaovuta bange na viroba sijui anakuwa ana siri gani nao
 
na mashabk walikuwa na mabango yenye maandish yanayopinga FIESTA Kufanyika sokoni. Wakidai shughul hyo itahalbu nyasi ambazo wapenz, mashabak na wafungwa wa gereza la rwanda walijitolea kubeba na kuzipanda.
mengine yalikua ni ya kiaina kupinga BMK
 
Uzuri wa wabunge wa CDM huwa hawamalizi mwezi bila kurudi nyumbani kukaa na wapigakura wao. Safi sana!
 
Uzuri wa wabunge wa CDM huwa hawamalizi mwezi bila kurudi nyumbani kukaa na wapigakura wao. Safi sana!
HUYU alionekana katoka safari kabisa kuwahi mechi ....uzalendo mkuu.........
 
Back
Top Bottom