Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

10679844_326532047529836_6502381222850001934_o.jpg

Oneni wenyewe sugu alivyo muhuni , yuko na swahiba wake marasta hapo.pembeni.. bange ilihusika kwa kiwango kikubwa
 
Walishangilia walijua amewaletea viroba na bange,, vijana wa mbeya ni wahuni wamemshangilia mhuni mwenzao

...aheri nimshangilie muhuni kuliko jangili katibu,fisadi mwenyekiti,vijisenti na mafisadi wanaoua mustakabali wa taifa kule dodoma na msululu wa majambazi yanayowania urais. Ukiya kenulia majitu haya,wewe ni zaidi ya muhuni,ni kichaa....
 
Back
Top Bottom