Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

Joseph Mbilinyi auteka uwanja wa Sokoine

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Leo Nimebahatika kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Kwenye Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya Na Kilichovutia ni Pale Mbunge wa Jimbo La Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi alipoingia huku mpira ukiendelea na kuamsha shangwe kubwa uwanjani hapo.kana kwamba haitoshi Mh huyo alikonga zaidi nyoyo za mashabiki pale alipoamua kutokaa Jukwaa la Waheshimiwa na Kuamua kwenda kujiunga na mashabiki hao kuishangilia Mbeya City na kufanikiwa kuiwezesha Mbeya CITY Kuibuka na ushindi
 
Mbna unajichanganya mkuu,umesema alivyo ingia uwanjani alishangiliwa,alafu mwsho kabsa unasema anataka kutoka kupitia soka,nadhani kama angekua ajatoka kama unavyosema,alivyoingia uwanjani mwinzoni ata hasingeshangiliwa..sugu ni rais wa mbeya wala aitaji soka kutoka,alishatoka kitambo..
 
Walishangilia walijua amewaletea viroba na bange,, vijana wa mbeya ni wahuni wamemshangilia mhuni mwenzao
 
Ina maana kila kijana anayetokea Mbeya an anayeishi Mbeya ni muhuni? Tumia busara ndugu

vijana wa mwanjelwa,uyole, mwanahapa ni wahuni wapiga nondo.. wanamshangilia muhun mwenzao
 
Walishangilia walijua amewaletea viroba na bange,, vijana wa mbeya ni wahuni wamemshangilia mhuni mwenzao

We mwenyewe haya maoni yako yanaonesha hazikutoshi. Tuthibitishie kuwa vijana wa Mbeya ni wahuni na wavuta bangi. Watu wengine mnatia shaka.
 
10679844_326532047529836_6502381222850001934_o.jpg
 
Mbna unajichanganya mkuu,umesema alivyo ingia uwanjani alishangiliwa,alafu mwsho kabsa unasema anataka kutoka kupitia soka,nadhani kama angekua ajatoka kama unavyosema,alivyoingia uwanjani mwinzoni ata hasingeshangiliwa..sugu ni rais wa mbeya wala aitaji soka kutoka,alishatoka kitambo..
umesomeka
 
vijana wa mwanjelwa,uyole, mwanahapa ni wahuni wapiga nondo.. wanamshangilia muhun mwenzao
wangekujua wana mbeya waliomia na jua lile wakishangilia timu yao................
 
Back
Top Bottom