PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025
FB_IMG_1742401524896.jpg

MY TAKE;

Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.

Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.

Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
 
Baada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

Screenshot_2025-03-19-19-09-35-1.png
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025

MY TAKE;

Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.

Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.

Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Kwamba Sugu ameita Waandishi ili kumpinga Lissu, si kweli, Kingine ni hiki, Pamoja na Lissu kumchafua Sugu kwa kila namna, Sugu hajawahi kumjibu Lissu hata neno moja.
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025

MY TAKE;

Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.

Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.

Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Duh! Ndo mmefika huku Mara hii??
 
Kwahiyo ukweli ni unaotoka kwa Lissu tu sio? Ukitoka kwa wengine mnaumia na kuita uchawa sivyo? Mna akili Za kishenzi na kitoto sana!
Tulia we muumini wa wauza unga. Matusi hayakutoi maana mchezo umeisha na kashindwa kihalali. Muambie mumeo hakuna kuzira baada ya kupigwa. Atembee na kauli mbiu ya chawa wake kuwa, ukishindwa hakuna kuhama chama ama kuzira.
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025

MY TAKE;

Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.

Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.

Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Na mungu akamtangulie kamanda wetu
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025

MY TAKE;

Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.

Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa.

Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani utampokea Familyman wa taifa. Mia
Anamfuata .Msigwa?
 
Chunga maandiko yako kamanda, ni wapi Lissu kamchagua Sugu?
Tukubaliane kuambiana ukweli vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na CCM.
Mkuu sitaki kubishana na wewe kwa sababu zinazofahamika na kwa manufaa ya Chadema, ni kweli kwamba tusiwe kama ccm lakini pia viongozi tujifunze kuheshimiana, unapomshambulia kiongozi wa Kanda ni dhahiri unakuwa unataka kuvuruga Chama, na inaweza kukuwiia vigumu sana kufanya naye kazi.
 
Baada ya ziara ya kikazi iliyojaa Mafanikio Nchini Marekani, Mwenyekiti huyo wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji wa Kimataifa na Mfanyabiashara, Bilionea Joseph Mbilinyi, Atahutubia Taifa kupitia Waandishi wa habari kwenye ofisi za Kanda Jijini Mbeya

Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

View attachment 3276574
Kupiga picha akila nyama na kunyoa nywele ni ziara ya kikazi??

Got nothing against Sugu, ila ile haikuwa ziara ya kikazi. Alienda na mishe zake tu.
 
Back
Top Bottom