Joseph Kusaga asema tuache malumbano

Kusaga au kusagwa?siwapendi clouds woteeeee wanyonyaji wakubwa, SUGU MOTO CHINI.
 
wasanii wa tz si wa kuwa masikini kiasi hicho, srikali iwe makini na watu hawa wanadhulumu haki zao kwani ni ajira kama ajira nyingine
 
dawa ya kusaga ni kuanzisha taasisi ya kizalendo ambayo itasimama dhidi yake na hapo ni kazi kwa wasanii wenyewe
 
Kusaga yaonekana ni mtu poa lakini hao wapambe wakina Ruge ndio wanaomharibia na kumchafua
 
Kama kasaidia vijana wengi kufika hapo walipo mbona karibia 90% ya wasanii ni masikini na wengi wao washatoa vibao vingi na vikatamba? Au anaongelea maendeleo gani? Maana na wengine wanakimbilia kuigiza sasa

yaani ana maanisha umasikini wao yeye ndio kasaidia ufike hapo walipo
 
Vandugu hizi harakati hakuna wakusitisha mwanzo mwisho hadi kieleweke,kusaga kashaona kitu ndio maana ameamua kufunguka,kwa kifupi jamaa ruge alikuwa anamtumia sana January makamba,tokea ameondoka ikulu sasa hivi mambo yanakuwa magumu kidogo,maana makamba ndioalikuwa anatoa siri nakumpa ruge,hata hii ishu ya malaria makamba ndio aliye mawambia ruge,kuwa sugu anaharakati za kufanya hivi na hivi kuhusu malaria.
 
Kusaga yaonekana ni mtu poa lakini hao wapambe wakina Ruge ndio wanaomharibia na kumchafua
Huwa sipendi kauli za kijinga kama hizi, maana hazina tofauti na wale wanaosema JK anaangushwa na wasaidizi wake, huku mkijuwa wazi wasaidizi wa Rais wanateuliwa na Rais na ni Rais mwenyewe mwenye uwezo wa kuwatimuwa wale wanaomwangusha.
Kusaga huwezi kumuondowa kwenye lawama hizi kwa namna yoyote ile.
 
Kusaga hajui analolisema.
Wanamuziki wengi wakongwe tumewajua kupitia Radio One kwenye vipindi kama DJ Show, Nani Zaidi, Top 10 n.k,
Hako ka-station kake kamekuja juzi tu, na kabla ya hapo alikua na Disko tu.
Wangejisifia watu kama Abdukhakim Mghomelo (KIM & THE BOYs) na YO-RAP BONANZA yake tungewaelewa.
 

Now you are talking. Ni wachache wanaojua ukweli huo.
 
Now you are talking. Ni wachache wanaojua ukweli huo.

Na hao hao wachache wanao jua ukweli ndio wanaomuangusha sugu kwenye hizo harakati,sababu ya pesa ndogo wanayo pewa na ruge basi wanakubali kutumika.

Aiwezekani leo anakuja mtu kama kalapina nakusema kuwa yeye ndio muanzilishi wa hip hop kwa mtu mwenye akili timamu aiingii akilini kauli kama hii(yaani anapewa airtime wafu fm na maneno ya kuongea)huu ni utumwa mbaya sana,watu kama hawa wanaweza hata kuua ndugu zao.RIP wafu fm.
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha,ni suala la muda tu na tutaona watu wakishuka kwa kasi pale walipo.
 
Aisee!lile kombora walilolusha vinega tar26 ni noma,limemuibua hadi kusaga sasa.
 
na wao waache kuwapigia simu vinega kuwaomba msamahaa waombe msamaha kwa wananchi kupitia redio yao kama walivyokuwa wanatuchafua na hizi harakati zitafika hadi ikulu hata wakibana vp na tunazunguka nchi nzima na nje ya nchi leo ndo mnawakumbuka wasanii wa zamani nyie si mnajifanya watu wa swaga
 
Huu moto ndio unavyozimwa kiulaini hivi mh Dh! Toa na Speech ajulikane nani mkosaji na uondoe na kusafisha uchafu wako.. Ushaomba radhi kwa wimbo wako mpya wa Taifa wewe na Jay Dee
 
tatizo wasanii wengi wabongo njaa zinzwasumbua! wakihojiwa kwenye media zingine unasikia wanasema "soko" wakipata watu wakuwatetea wanaanza kuogopa tena! watu kama kina kalapina nilikuwa nawaona wamaana kumbe hakuna lolote!
eti mtu kama huyo awe diwani wakata yangu?
 
nasikia hao ma presenter wa clouds wanawatukana wasanii kama watoto wadogo mmoja wapo ni prof jay na tumbo lote lile na mapele ya ndevu ila nasikia alitukanwa na b 12 kisa kachelewa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…