Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Yuko msituni, anaendeleza njaro kama kawa ila M23 wanazidi kusogeaHabarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?
Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka bado hajawazeza kupatikana hadi leo!!
Tunaweza sema huyu jamaa kasumbua zaidi ya Osama bin Ladeni
Marekani ilishawai kutangaza donge nono kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa Kony lakini wapi!!.
Swali ??
-Ni wapi alipo joseph kony?
-Nani walikua wanafadhili kikundi cha uasi cha Lord resistance army kilichoongozwa na Joseph kony?
-Je n maadui wa museven ndio wanaomhifadhi??
-Je wanaomfadhiri wanafaidika nn nae?? na kwann wakubali kukosana na umoja wa mataifa/Marekani kisa Kony??
-Je harakati zake za kumtoa Museven zilikua zinakubalika au kuwa supported na nchi nyingine za africa?
Tuambie: Unafikiria nini Ukisikia Joseph Kony
Namkubali sana huyu MwambaVp kuhusu Laurent Nkunda kiongozi wa M23 aliyekamatwa na Rwanda hatima yake ikoje
Habarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?
Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka bado hajawazeza kupatikana hadi leo!!
Tunaweza sema huyu jamaa kasumbua zaidi ya Osama bin Ladeni
Marekani ilishawai kutangaza donge nono kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa Kony lakini wapi!!.
Swali ??
-Ni wapi alipo joseph kony?
-Nani walikua wanafadhili kikundi cha uasi cha Lord resistance army kilichoongozwa na Joseph kony?
-Je n maadui wa museven ndio wanaomhifadhi??
-Je wanaomfadhiri wanafaidika nn nae?? na kwann wakubali kukosana na umoja wa mataifa/Marekani kisa Kony??
-Je harakati zake za kumtoa Museven zilikua zinakubalika au kuwa supported na nchi nyingine za africa?
Tuambie: Unafikiria nini Ukisikia Joseph Kony
Atakua zake chimbo ametulia anakula mafao hapo hataki kelele
Sielewi sana kuhusu huyo kiongozi mkuu!!Vp kuhusu Laurent Nkunda kiongozi wa M23 aliyekamatwa na Rwanda hatima yake ikoje
kwaiyo serikali ya sudan ndyo inamfadhiriAmejificha Darfur Sudan,ila bado analiongoza kundi lake akiwa huko.
Konyi alikuwa akipata ufadhili wa serikali ya Sudan - Khartum chini ya Rais wao Omar al Bashir ambaye alikuwa akimpa misaada ya hali na mali. Hali hii ilipelekea USA kuwa na Uadui na Sudan maana waliona kama watu wa Kusini mwa Sudan wana madai ya haki ya kujipatia uhuru wao kutokana na manyanyaso waliyopata toka kwa watu wa Sudan Kaskazini.Habarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?
Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka bado hajawazeza kupatikana hadi leo!!
Tunaweza sema huyu jamaa kasumbua zaidi ya Osama bin Ladeni
Marekani ilishawai kutangaza donge nono kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa Kony lakini wapi!!.
Swali ??
-Ni wapi alipo joseph kony?
-Nani walikua wanafadhili kikundi cha uasi cha Lord resistance army kilichoongozwa na Joseph kony?
-Je n maadui wa museven ndio wanaomhifadhi??
-Je wanaomfadhiri wanafaidika nn nae?? na kwann wakubali kukosana na umoja wa mataifa/Marekani kisa Kony??
-Je harakati zake za kumtoa Museven zilikua zinakubalika au kuwa supported na nchi nyingine za africa?
Tuambie: Unafikiria nini Ukisikia Joseph Kony
Laurent Nkunda alikuwa General wa Jeshi la Rwanda. Baada ya kumaliza kazi yake DRC amerudi kwao Rwanda na ndiko aliko hadi leoVp kuhusu Laurent Nkunda kiongozi wa M23 aliyekamatwa na Rwanda hatima yake ikoje
Elezea vizuri hii habar mkuuMseven almtumia kahaba mmoja kympelekea dola za kutosha akitulize
[emoji23][emoji23]Yupo ila inasadikika umri umeanza mtupa mkono ila yuko na vijana wake msituni kama sijakosea mwaka juzi alionekana (alieusha video)yuko na vijana wake msituni wako vifua wazi wanakaanga maandazi