Joseph Kabila enzi hizo

Siri ya Maisha iko kwa muumba TU. Nani alijua atakuja kuongoza nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili duniani?
 
Mkuu si unacheki hiyo pua yake.
yeah kuna chakujifunza hapa, kama kweli alimuuma baba yake wa kambo basi dunia ni mbaya sana Mungu ni rafiki yako wa pekee. laurent alimpenda sana huyu kijana lakin ndo ivo tena laurent inasemekana alimuua baba yake joseph wakiwa vitani, hawa waliwahi kuwa marafiki baada ya vita kuwa mbaya na kushindwa kwa kiasi kikubwa laurent akahisi christoper (baba halis wa joseph) anamsalito akaaamua kumuua na kila alipoulizwa alikua anatoa sababu kibao so naona msemo ulitimia kwamba malipo ni hapa hapa duniani
 
Du pamoja na ufukunyungu wangu hii habari ya joseph kuwa adopted ndo naisikia leo,licha ya kuanza kumfuatilia kabila tangu niko primary
 
1471868440646.jpg
1471868509324.jpg
huyu jamaa ametoka mbali. Mwaka 1996 alikua dereva wa General James Kabarebe
 
View attachment 385768View attachment 385769huyu jamaa ametoka mbali. Mwaka 1996 alikua dereva wa General James Kabarebe
na imani huyu dogo alifanya njama za kuumuua baba yake wa kambo, the late laurent!! pia malipo ni hapa hapa duniani tuu maana laurent pia alimuua baba mzaz wa huyo joseph sababu alihisi anamsaliti halaf kama haitoshi akamchukua na mkewe akammiliki, na akawachukua jose na dada yake ambaye ni pacha kisha akawalea kama wanae, kilichokuja kutokea anafahamu huko mbinguni/motoni.
 
Sasa Joseph ana mipango ya ku- kuruzinza maana anaona wakati wa kuachia kiti unawadia naye bado hajashiba
 
nilikuwA sifahamU kamA joseph ni mtoto wA kufikiA wA mzee laurent kumbe jf ni zaidI yA shule
 
Hakuna cha bahati hapo, kila kitu kilipangwa na kikapangika.
Gharama ya kupata cheo cha urais wa Kongo DRC ni kubwa mno kuliko uhai wa mamilioni ya wakongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom