babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,961
- 20,287
hapo kulia
hapo kulia katika pozi na mshkaji wake
alikuwa na oneten nyeupe hiviDu nasikia dingi yake alikua anakaa kunduchi mtongani ni kweli hilo?
Du nasikia dingi yake alikua anakaa kunduchi mtongani ni kweli hilo?
...jamaa sa ivi ana hali ngumu sana sijui kama atapita uchaguzi. Wameshamstukia uraia wake...nenda you tube utaona kuna clip inayoonyesha jamaa wanajifutia miguu picha yake kama door matHivi uraia wake DRC uko sawa?
Hivi uraia wake DRC uko sawa?
Bahati gani huyu kamuuwa Baba yake ili achukue madaraka!!!!!!!!!!!!!!!Kila mtu na bahati yake.
Bahati gani huyu kamuuwa Baba yake ili achukue madaraka!!!!!!!!!!!!!!!
Ambaye naye(Laurent Kabila) alimuua baba mzazi wa Joseph na kumtwaa mama yake na yeye Joseph mwenyewe