AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 1,991 Reaction score 5,095 Wednesday at 11:58 AM #21 Kikwete mwenye huko bongo lendi ametoka mguu mmoja tena ametoka na remont yake uko DRC mwamba alitoka miguu miwili na alisahau remont yake sasa anaitaka
Kikwete mwenye huko bongo lendi ametoka mguu mmoja tena ametoka na remont yake uko DRC mwamba alitoka miguu miwili na alisahau remont yake sasa anaitaka
R Rohombay Senior Member Joined Sep 18, 2026 Posts 108 Reaction score 194 Wednesday at 12:38 PM #22 Beira Boy said: Ni mjinga sana Hana adabu Kawa rais kwa miaka 15 lakin bado ujinga wa tamaa haujamtoka Click to expand... Hawa ndo viongozi wa Afrika wabinafsi na waroho wa madaraka.
Beira Boy said: Ni mjinga sana Hana adabu Kawa rais kwa miaka 15 lakin bado ujinga wa tamaa haujamtoka Click to expand... Hawa ndo viongozi wa Afrika wabinafsi na waroho wa madaraka.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,769 Reaction score 16,552 Wednesday at 12:43 PM #23 Anatia Aibu, ni wazi analengo la kutaka kumpindua Tshishekedi na kumweka kibaraka wake pale juu atakayesimamia maslahi yake na waliopo nyuma yake.
Anatia Aibu, ni wazi analengo la kutaka kumpindua Tshishekedi na kumweka kibaraka wake pale juu atakayesimamia maslahi yake na waliopo nyuma yake.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,592 Reaction score 287,280 Wednesday at 1:51 PM Thread starter #24 Masasi Gilbert said: Amekuwa rais miaka 18 lakini bado ana uchu wa madaraka kweli waafrika aliyeturoga alishakufa Click to expand... Aibu sana
Masasi Gilbert said: Amekuwa rais miaka 18 lakini bado ana uchu wa madaraka kweli waafrika aliyeturoga alishakufa Click to expand... Aibu sana
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,312 Reaction score 6,611 Wednesday at 1:56 PM #25 Madaraka ni matamu kwan bibi yenu pa1 na hekaheka za oktoba 29 kulitia doa taifa ameachia taulo?
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,872 Reaction score 29,037 Wednesday at 2:17 PM #26 cocastic said: Ila huyu Kabila anashangaza mno, mtu ushakua rais kwa miaka 15+, si atulie ale pensions, au huko hawana utaratibu huo? Click to expand... Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa? Lazima achukue DRC, afute Ile hukumu awe huru.
cocastic said: Ila huyu Kabila anashangaza mno, mtu ushakua rais kwa miaka 15+, si atulie ale pensions, au huko hawana utaratibu huo? Click to expand... Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa? Lazima achukue DRC, afute Ile hukumu awe huru.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 122,258 Reaction score 201,257 Wednesday at 2:18 PM #27 Kadhi Mkuu 1 said: Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa? Lazima achukue DRC, afute Ile hukumu awe huru. Click to expand... Duuh hatarii sana.
Kadhi Mkuu 1 said: Jamaa kahukumiwa kifo na Tshisekedi, unataka aishije sasa? Lazima achukue DRC, afute Ile hukumu awe huru. Click to expand... Duuh hatarii sana.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,358 Reaction score 33,524 Wednesday at 2:23 PM #28 huwezi kuwa unapuuza wastaafu na ukatawala kwa amani