LGE2024 Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu

Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.

Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:

Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

"Leo moto umeungua na maji yamelowana! Mpaka kieleweke!" ameandika instagram kwa msisitizo, akiashiria ari na nguvu za kuongoza juhudi za kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
IMG_0833.jpeg

Professor Jay, anayejulikana kwa ushawishi wake siasa na muziki. Amewahi kuwa Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2015-2020, akijulikana kama "Mbunge wa Watu (Binadamu) na Wanyama"
 
Mzee wa zali la mentalii km nakuona vilee na nyimbo zako za ndio Mzee.

Wananchi mmenisikia palee ndio mzeee.

Ntajenga Barabara juu na chini ndio mzee

Mabomba yote yatatoa maziwaa ndiooo mzeee

.
 
Wakuu

Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.

Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:

Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

"Leo moto umeungua na maji yamelowana! Mpaka kieleweke!" ameandika instagram kwa msisitizo, akiashiria ari na nguvu za kuongoza juhudi za kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
View attachment 3157192
Professor Jay, anayejulikana kwa ushawishi wake siasa na muziki. Amewahi kuwa Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2015-2020, akijulikana kama "Mbunge wa Watu (Binadamu) na Wanyama"
View attachment 3157191

Hakika Chadema ipo mioyoni mwa watu ....... MWEMYE KIFUA KIPANA na MAMA KWEWE lazima presha ipande mwaka huu.
 
0I thought he needed a thorough rest!
Hata mimi nilidhani na kutamani iwe hivyo,
Kwa complications alizopata na kuponea chupu chupu ilitakiwa abadilishe kabisa lifestyle na kuupa mwili pole
Japo kuna pesa kwenye siasa lakini pia kuna stress ambazo asipoangalia zinaeza muweka chini tena,
 
Back
Top Bottom