Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 151
- 350
Mkuu Na Wewe Unatamani Mama Ya Kizungu?Nampa hongera kuzaa na mzungu. Na mimi nitafika huko
Plus scandal za utapeliAlifanya Vizuri Sana Kwa Wakati Wake.
Sema Kuna Lile Tukio Lake La Kujirusha Toka Ghorofani Pale Alianza Matukio Yasiyoeleweka Na Ukimya Ukazidi Kwenye Mziki
Valuvalu Huwa nikiicheck nakuwa kama inafanana na ya Michael Jackson who is it hivi nayo Kali kinoma muleValuvalu inanikumbusha mbali sana.