Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

Mmavele jr

Senior Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
130
Reaction score
53
Majina ya waliochaguliwa jordan university kwa awamu ya kwanza na pili yameshatoka na kama wewe ni kati yao basi pita hapa tujuane na kwa whatsup group WASILIANA NA NO 0745709844 group lipo tayali
 
Majina ya waliochaguliwa jordan university kwa awamu ya kwanza na pili yameshatoka na kama wewe ni kati yao basi pita hapa tujuane na hata no ya simu weka hapa tuanzishe whatsup group letu
Ni kwel mkuu second round wametoa?
 
Hiko chuo kinapatikana wapi?
 
Hivi Jordani University mi nilijua iko Jordan huko Ulaya
Kumbe ni bongo hapa hapa!!?
 
ni chuo safi sana, kinauongozi mzuri,mandhari nzuri, ni tawi la saut kipo mjini. Ni chuo kama umechaguliwa hapo hakika hautajutia kusoma hapo. Welcome Jordan University College in Morogoro.
Kuna hosteli mkuu hpo dd yngu aja hko
 
Yes kwaanae fahamu when tunaitajka kuanza kurpot pia vitugan vya mxing unavyo itajka kufka navyo?
 
Alietangaza kuanzxha cru ya watsap nae jpu[emoji318] mbona atulioni jomba. Au ulikua unatafuta kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…