Joomla

Joomla

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
218
Habari za mihangaiko wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hii technologia , unajua ni vizuri kujifunza mambo mbali mbali , kuna kaz nimeapply na wamenambia lazma ni jue joomla, sasa naomba japo tutorial, nime google but nataka more clarification kutoka kwa wataalam zaid, hili jukwaa ni zaid ya technologia! Naomba msaada wenu wakuu.
 
sasa mkuu unataka tukufunze joomla hApa? mbona itakuwa shughuli
 
we chamsini ni kufanya practical tu... create ite ya joomla kisha ukipata tatizo ndo unauliza... kuliko mtu aanze kukwambia mwanzo mwisho....
 
Nitakufundisha cha muhimu contact me....... I am professional in joomla....... cha muhimu nitafute.....
 
Back
Top Bottom